Leo ukimgegeda, kesho yake unapata mkwanja~ (Ushirikina au Karama?)

Yani ukimgegeda leo, kesho yake lazima upate pesa
Na mm nimeanza kushawishika kumgegeda, kwani condom si zipo?

Hebu changamsha ubongo huo acha kufikiria kwa kutumia kifanyio...
Wenzako wanaomsifia ni wale waliopita hapo na wanataka wafe na wengi...
Sasa wewe endelea kujipa moyo uingie kwenye list ya marehemu watarajiwa...
 
Wewe bweteka usubiri hela ya KARAMA\USHIRIKINA kwa kugegeda mwathirika badala ya kujituma na kutafuta kipatoo chako kwa njia sahihi! Wabongo tunakufa kwa ujinga wetu!

Nimeshawork hard and i have everything in life...ila kama unavojua dada angu, pesa huwa hazitoshi na ndo mana unaweza ukawa na bilioni lkn wkt unapita njiani ukakuta buku teni tu imeangushwa na bado ukaiokota pamoja na mahela yote uliyonayo, mtazame Bakhressa, ana azam chapati, mara azam nazi, mara maji, mara unga wa ngano, mara vijoti na bado atabuni bidhaa nyingine! pesa haitoshi...

Sitamgegeda wajameni,,, khe!
 
siku zote wanasema daima wajinga ndio waliwao, badala ya kufanya kazi kwa bidii ili upate pesa wengine wanafikilia kupata pesa kirahisi ,hakuna kitu kizuri kinachopatikana kirahisi ishu ni kukaza buti .na huyo msimwite muhudumu wa bar mwite kahaba na kama anajua kwamba wanaomgegeda kesho yake wanapata cash basi bora awape ndugu zake.

Nimeshawork hard and i have everything in life...ila kama unavojua dada angu, pesa huwa hazitoshi na ndo mana unaweza ukawa na bilioni lkn wkt unapita njiani ukakuta buku teni tu imeangushwa na bado ukaiokota pamoja na mahela yote uliyonayo, mtazame Bakhressa, ana azam chapati, mara azam nazi, mara maji, mara unga wa ngano, mara vijoti na bado atabuni bidhaa nyingine! pesa haitoshi...siwezi kumgegeda wajameni, ondoeni shaka!
 
Hebu changamsha ubongo huo acha kufikiria kwa kutumia kifanyio...
Wenzako wanaomsifia ni wale waliopita hapo na wanataka wafe na wengi...
Sasa wewe endelea kujipa moyo uingie kwenye list ya marehemu watarajiwa...

Relax! Siwezi kumgegeda bwana...
 
Nimeshajiuliza sana lkn sipati jibu, huyu binti ni mhudumu wa bar, mzuri kishenzi...ila inasemekana ni HIV+....

Yani ukimgegeda leo, kesho yake lazima upate pesa, watu 9 hadi sasa wameshamgegeda na wamepata cash kesho yake!!! utakuta kuna mazingira fulani hivi ambayo yatakufanya upate pesa...kama ulikua unamdai mtu na hataki kukulipa utakuta anakupigia simu ukachukue ela yako, kama ulicheza michezo ya kubahatisha utakuta umeshinda, au unapigiwa simu tu na mshkaji wako wa karibu anakwambia "mwanangu njo nikutoe kuna deal nimepiga nimeingiza mkwanja wa maana!", au kama ni mwanafunzi wazazi wako wanakukatia mkwanja tu bila kuwaomba!!!

Kuna mzee mmoja ni mtumishi wa Serikali ndo haambiwi hasikii, kamng'ang'ania balaa, daily anavuta mkwanja na vyeo anapandishwa!

Na mm nimeanza kushawishika kumgegeda, kwani condom si zipo? kwanza sio lazima kupata UKIMWI ukimuandaa mwenzako vizuri ili kuepuka michubuko! au mnaniambiaje wana jamvi?

Hivi huyu manzi atakua mshirikina au ana karama tu???

Nilifikiri Danger zone ni kule bongo star search tu, kumbe hata kwenye uhai ipo.Xee
 
Mkuu mbona kila topic zako zinaniletea utata, au sikuelewi elewi nini?
 
sijui akina Klein watakuwa wa aina gani.....
BTW Kongosho, na King'asti chukueni likizo nyakati tofauti tofauti ili munisaidie darasa.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshajiuliza sana lkn sipati jibu, huyu binti ni mhudumu wa bar, mzuri kishenzi...ila inasemekana ni HIV+....

Yani ukimgegeda leo, kesho yake lazima upate pesa, watu 9 hadi sasa wameshamgegeda na wamepata cash kesho yake!!! utakuta kuna mazingira fulani hivi ambayo yatakufanya upate chapaa...kama ulikua unamdai mtu na hataki kukulipa utakuta anakupigia simu ukachukue ela yako, kama ulicheza michezo ya kubahatisha utakuta umeshinda, au unapigiwa simu tu na mshkaji wako wa karibu anakwambia "mwanangu njo nikutoe kuna deal nimepiga nimeingiza mkwanja wa maana!", au kama ni mwanafunzi wazazi wako wanakukatia mkwanja tu bila kuwaomba!!!

Kuna mzee mmoja ni mtumishi wa Serikali ndo haambiwi hasikii, kamng'ang'ania balaa, daily anavuta mkwanja na vyeo anapandishwa!

Na mm nimeanza kushawishika kumgegeda, kwani condom si zipo? kwanza sio lazima kupata UKIMWI ukimuandaa mwenzako vizuri ili kuepuka michubuko! au mnaniambiaje wana jamvi?

Hivi huyu manzi atakua mshirikina au ana karama tu???
Kajaribu bahati yako mkuu, ila binafsi sihitaji feedback yako kwani majibu ninayo!
 
..ukitumia kinga hupati hela,nenda mbichi mbichi sio mkavu,go,go,baby goggogggggooooo....do it meeeen,note; choose rangi ya jeneza na utazikwa wapi sikuhizi kumezuka mtindo wa kugombea maiti hasa za ushirikina...
 
Back
Top Bottom