Leo umedamshii ukiwa mtaa gani?

Leo umedamshii ukiwa mtaa gani?

Mimi Leo nipo zangu hapa Landmark hotel hapa Tukuyu nikiwa nmeagiza kuku mzima tayari kwa kujiservia. Mama yenu mdogo kaenda kula likizo kwao

Hapa nasubiri usiku ufike niingie kivanga top garden Kwaajili ya kupata pisi Kali [emoji23]

Leo umedamshii ukiwaamtaa gani(clabu)?
Mkuu kumbe we utopolo ni home boy wangu.... Kiwira road, bagamoyo,mabonde, katumba, ushirika, masoko,, dah home pande hizo kitambo sana....
 
Mimi Leo nipo zangu hapa Landmark hotel hapa Tukuyu nikiwa nmeagiza kuku mzima tayari kwa kujiservia. Mama yenu mdogo kaenda kula likizo kwao

Hapa nasubiri usiku ufike niingie kivanga top garden Kwaajili ya kupata pisi Kali [emoji23]

Leo umedamshii ukiwaamtaa gani(clabu)?
How I miss Tukuyu......kuna kaka anaitwa Jofu maarufu kwa kupika kababu aisee[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom