DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Mkuu kumbe we utopolo ni home boy wangu.... Kiwira road, bagamoyo,mabonde, katumba, ushirika, masoko,, dah home pande hizo kitambo sana....Mimi Leo nipo zangu hapa Landmark hotel hapa Tukuyu nikiwa nmeagiza kuku mzima tayari kwa kujiservia. Mama yenu mdogo kaenda kula likizo kwao
Hapa nasubiri usiku ufike niingie kivanga top garden Kwaajili ya kupata pisi Kali [emoji23]
Leo umedamshii ukiwaamtaa gani(clabu)?