DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Mkuu kumbe we utopolo ni home boy wangu.... Kiwira road, bagamoyo,mabonde, katumba, ushirika, masoko,, dah home pande hizo kitambo sana....Mimi Leo nipo zangu hapa Landmark hotel hapa Tukuyu nikiwa nmeagiza kuku mzima tayari kwa kujiservia. Mama yenu mdogo kaenda kula likizo kwao
Hapa nasubiri usiku ufike niingie kivanga top garden Kwaajili ya kupata pisi Kali [emoji23]
Leo umedamshii ukiwaamtaa gani(clabu)?
How I miss Tukuyu......kuna kaka anaitwa Jofu maarufu kwa kupika kababu aisee[emoji91][emoji91][emoji91]Mimi Leo nipo zangu hapa Landmark hotel hapa Tukuyu nikiwa nmeagiza kuku mzima tayari kwa kujiservia. Mama yenu mdogo kaenda kula likizo kwao
Hapa nasubiri usiku ufike niingie kivanga top garden Kwaajili ya kupata pisi Kali [emoji23]
Leo umedamshii ukiwaamtaa gani(clabu)?
One love... Tukuyu foreverYaaah boss[emoji23]
Wengine tumeenda kuhiji vijijini mkuu.Raha ya sikukuu uwe Town [emoji23][emoji23]
msabato aliyeasi🥱😪Karibu Tule MDUDU HAPA NIMECHUKUA kilo Tano.
Na bia za kutosha
Hivi kuasi maana yake nini 🤣🤣🤣🤣😂😂msabato aliyeasi🥱😪
kukengeuka😑✋Hivi kuasi maana yake nini 🤣🤣🤣🤣😂😂
😅😅kukengeuka😑✋
Ndio mkuu. Tuuanze mwaka tukiwa na baraka nyingi za wazazi.Mmeenda kuchota mibaraka
flying fish baridiii😅😅
Wasabato mna tabu sana..
🤣🤣🤣
Karibu kilimanhmjaro baridi
Ndio Mkuu Tunafungua Maboksi.Kwa bashite??