Leo wa Houth wamechezea kichapo mpaka wamelia "maaa" Free Yemen zimeshaanza kusikika

MBYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2020
Posts
443
Reaction score
594
Mwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa

Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
 
Attachments

  • Video_shows_#US_air_strikes_pounding_Yemen’s_capital,_Sanaa,_just_days_after_the_US_bombed_Hod...mp4
    1.6 MB
Mwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa

Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
Nikaju ni kama ya iran hawawezi kufanikiwa cha maana kwa namna hiyo kamwe
 
Wakati majenerali wa USA wanakwambia Wahouth wanadrain resources muhimu kupiga huko Yemen.

Wahouth don't care hata kama Majengo yote ya jiji la San'aa yatavurumushwa. Wao wanasema wameishi kwenye mahema kwa miska 5000 sasa hivyo vigorofsgorofa hata vikivunjwa havina ishu.

Hasira za Marekani zimetokana na Houthi kuendelea kutandika vimeli vya kijeshi vya marekani.
 
Wamezamisha meli IPI ya jeshi la marekani mpaka Sasa?
 
Baada ya juzi kuua watu 80 kwa B2 bomber waliokua wanajitafutia riziki bandarini ya mafuta leo kafukua makaburi chizi Trump.. aulizwe saudia who's Yemen people bado hajawajua

Ansarullah's ironic transaction to bombing two cemeteries in Sanaa with B-2 bomber

One of the Sana'a government officials after the bombing of two cemeteries in the Yemeni capital by secretive US bombers criticized Donald Trump.

Al-Sadd, a senior member of Ansarullah Yemen, wrote in a message on the X-Social Network: The B-2 ghost bomber from the southern Indian Ocean travels about 2,000 kilometers, just to bomb a cemetery in Sanaa!

"Crazy Trump couldn't deal with the lives that rubbed his nose, overthrew his planes, targeted his ships, and continued to support Gaza," he wrote. So he decided to take revenge on the dead!

He also emphasized: In any case, the Yemeni nation has been a faithful and militant people throughout the generations. Perhaps this bombing is a late reaction to the constant positions of our deceased against the enemies of God and the enemies of the Ummah!

#Yemen #yemen

🇾🇪 Yamni; #Land_Conies
🔹@sarzaminkhanjarha ⭐️
 
Wakati majenerali wa USA wanakwambia Wahouth wanadrain resources muhimu kupiga huko Yemen.

Wahouth don't care hata kama Majengo yote ya jiji la San'aa yatavurumushwa. Wao wanasema wameishi kwenye mahema kwa miska 5000 sasa hivyo vigorofsgorofa hata vikivunjwa havina ishu.

Hasira za Marekani zimetokana na Houthi kuendelea kutandika vimeli vya kijeshi vya marekani.
Andiko lako linaonyesha ni jinsi gani waarabu walivyo wajinga wa kutupwa yaani nyumba zibomolewe uende ukaishi kwenye mahema ndio unaona umeshinda.

Waarabu walikuwa na akili tu kabla ya kuzaliwa kwa Mohammed lakini wamebaki wajinga zaidi hata baada ya Mohammed kufa na hawatakaa wabadilike. Never.
 
Tuondolee ukanisa hapa Yemen ni tofouti na Hamas anapigana kufungiwa mpaa chakula na maji afu mnawasifia mashoga miaka miwili ana silaha anapewa za kila aina kashindwa vita na Hamas hata km 40km Gaza haifiki.

Yemen nani wakumfungia kila kitu anacho US kaaishia kupiga grave yard na Magari ya tank za mafuta 😄

US hawezi kuwashinda Al Houth time itaongea.
 
Mwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa

Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
Allah akbar
 
Walifanya mashambulizi makali sana ila palivo kucha asubuhi kumbe walishambulia makaburi
1745171000576.jpg
 
Hao Wamarekani hawana jipya hapo Yemen, Wameshampa Masilaha Saudi Arabia ya kupiga Yemen kqa miaka lukuki lakini hamna kitu walichopata cha maana
 
Wapumbavu ndio lugha wanayoielewaga na ni Israel na US pekee ndio wanaoelewe vyema huko .
 
Wakati majenerali wa USA wanakwambia Wahouth wanadrain resources muhimu kupiga huko Yemen.

Wahouth don't care hata kama Majengo yote ya jiji la San'aa yatavurumushwa. Wao wanasema wameishi kwenye mahema kwa miska 5000 sasa hivyo vigorofsgorofa hata vikivunjwa havina ishu.

Hasira za Marekani zimetokana na Houthi kuendelea kutandika vimeli vya kijeshi vya marekani.
Basi huo ni ujinga mkubwa sana aisee

Hao jamaa haikuwa lazima washambuliwe ila tu kwa ujinga wao kuziba njia ya meli za Magharibi na kushambulia kila meli inayopita kwenye anga lao na vita haikuwa yao
 
Mwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa

Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
Unatafuta ugomvi wa rugu na kichaa mwenye rungu,USA vita kwao ni biashara they enjoy it alot.
 
Wakati majenerali wa USA wanakwambia Wahouth wanadrain resources muhimu kupiga huko Yemen.

Wahouth don't care hata kama Majengo yote ya jiji la San'aa yatavurumushwa. Wao wanasema wameishi kwenye mahema kwa miska 5000 sasa hivyo vigorofsgorofa hata vikivunjwa havina ishu.

Hasira za Marekani zimetokana na Houthi kuendelea kutandika vimeli vya kijeshi vya marekani.
Basi kwanini walijenga hivyo vihorofa,uzuri vigorofa vinaondoka na maisha yao.
 
Back
Top Bottom