jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Uzuri mnaelewa kinachafanyika mnajipa moyo tu,acha waapate kipondo mana ndio walikua wanakitafuta,ndugu yao iran yupo roma kuomba usuluhishi na USA kabla mvua ya mabomu haijamnyeshea.Tuondolee ukanisa hapa Yemen ni tofouti na Hamas anapigana kufungiwa mpaa chakula na maji afu mnawasifia mashoga miaka miwili ana silaha anapewa za kila aina kashindwa vita na Hamas hata km 40km Gaza haifiki.
Yemen nani wakumfungia kila kitu anacho US kaaishia kupiga grave yard na Magari ya tank za mafuta 😄
US hawezi kuwashinda Al Houth time itaongea.