Nikaju ni kama ya iran hawawezi kufanikiwa cha maana kwa namna hiyo kamweMwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa
Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
Malaria 2 manabii wako watkatifu wanafanywa kitu mbayaMwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa
Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
Wamezamisha meli IPI ya jeshi la marekani mpaka Sasa?Wakati majenerali wa USA wanakwambia Wahouth wanadrain resources muhimu kupiga huko Yemen.
Wahouth don't care hata kama Majengo yote ya jiji la San'aa yatavurumushwa. Wao wanasema wameishi kwenye mahema kwa miska 5000 sasa hivyo vigorofsgorofa hata vikivunjwa havina ishu.
Hasira za Marekani zimetokana na Houthi kuendelea kutandika vimeli vya kijeshi vya marekani.
Andiko lako linaonyesha ni jinsi gani waarabu walivyo wajinga wa kutupwa yaani nyumba zibomolewe uende ukaishi kwenye mahema ndio unaona umeshinda.Wakati majenerali wa USA wanakwambia Wahouth wanadrain resources muhimu kupiga huko Yemen.
Wahouth don't care hata kama Majengo yote ya jiji la San'aa yatavurumushwa. Wao wanasema wameishi kwenye mahema kwa miska 5000 sasa hivyo vigorofsgorofa hata vikivunjwa havina ishu.
Hasira za Marekani zimetokana na Houthi kuendelea kutandika vimeli vya kijeshi vya marekani.
True Kabisa MkuuDuh hayo madude yasikie tu kwenye vyombo vya habari ila usitake yaangaze anga yako.
Makobaz wanalo aise
Allah akbarMwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa
Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
😂Allah akbar
Basi huo ni ujinga mkubwa sana aiseeWakati majenerali wa USA wanakwambia Wahouth wanadrain resources muhimu kupiga huko Yemen.
Wahouth don't care hata kama Majengo yote ya jiji la San'aa yatavurumushwa. Wao wanasema wameishi kwenye mahema kwa miska 5000 sasa hivyo vigorofsgorofa hata vikivunjwa havina ishu.
Hasira za Marekani zimetokana na Houthi kuendelea kutandika vimeli vya kijeshi vya marekani.
Unatafuta ugomvi wa rugu na kichaa mwenye rungu,USA vita kwao ni biashara they enjoy it alot.Mwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa
Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
Basi kwanini walijenga hivyo vihorofa,uzuri vigorofa vinaondoka na maisha yao.Wakati majenerali wa USA wanakwambia Wahouth wanadrain resources muhimu kupiga huko Yemen.