Leo wa Houth wamechezea kichapo mpaka wamelia "maaa" Free Yemen zimeshaanza kusikika

Uzuri mnaelewa kinachafanyika mnajipa moyo tu,acha waapate kipondo mana ndio walikua wanakitafuta,ndugu yao iran yupo roma kuomba usuluhishi na USA kabla mvua ya mabomu haijamnyeshea.
 
Waafrika ndio maana IQ RATING yetu siku zote iko chini na kamwe haitakaa ipande, yaani mtu yuko hapo Milingotini Bagamoyo anamsujudia mwarabu kama Mungu.

Mwarabu anamdanganya mswahili kwamba Mungu anaongea kiarabu tu na mswahili anaitikia Taqbir na mwarabu anamwambia mswahili ili uwe safi mbele za mwenyezi Mungu lazima uwe na majina ya kiarabu na mswahili anatii na kubadili majina, ama kweli uafrika ni janga.😰😰😰
 
Hayo ni maneno yako ila kwa wananchi wa kawaida ni kilio.
 
We nenda ukalowanishwe na Paulo aliye pewa utume na shetan yuko njia panda we utaishia kutengeneza majina kama utitiri hapa. We ndio wakuongelea IQ

View: https://youtube.com/shorts/g7_l3UtDly4?si=Z2Nw7jRzQZcfR12F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…