Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Kama kawaida, Edo na Baba Levo ndio watu ambao they can speak nothing but truth .
Edo alishawahi kumwambia Cheusi kuwa asiseme watu wanajiteka wakati wanapoteza familia zao.
Baba Levo ana inborn Character ya intelligence….he is smart ….. baba levo ni Alama kuwa kusoma sio kuwa na akili.
Oscar kwenye mijadala ya SIASA asiwe Anawekwa…..hana confidence na nikama vile anataka kuuma na kupuliza.
Hawezi kuongea anachokiamini…. In one straight language kama wenzie.
Jeshi la Polisi halina Ustaarabu full stop. Mambo ya najua hatuwafundishi kazi with all that ni mambo ya tabia za watu wa neutrality…
kwani ni lazima kucomment kwenye mada za siasa…? . Kuna mambo ya simba na yanga pia if you can’t speak yourself!
Mwisho, waandishi wa habari na mnaojiita Mastaa kuweni makini na uchawa na neutrality….. hakuna alietegemea Trump angerudi madarakani…….. maisha huwa yanachange sana , kuna watu waliamini JPM( PhD Holder) asingekufa mapema vile….kuna watu walimchukulia poa Samia wakawa wanamuona kama kifurushi tu pale state, ila leo ndio Rais … anatoa orders
Siasa ni kama kinyonga umdhaniae siye…ndiye …..worst enough technology ya sasa inaweka records
Hivyo ….usiji expose sana kwenye uchawa na neutrality… just speak the truth…… truth will set you free
Watu wanaoongea kweli … they are always safe in the eye of Almighty
Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
Ottawa
Canada