Leo Wasafi wameupiga Mwingi, Jeshi la Polisi linatumika bila busara

Leo Wasafi wameupiga Mwingi, Jeshi la Polisi linatumika bila busara

Nashindwa kuamini kuwa Baba Levo ameshia daras la 7. Jamaa yupo vizuri sana kichwani, huwa anazirusha tu muda mwengine.
 
Kumbe Baba Levo ni mtu makini na mzalendo kiasi hiki?.
Nimeamua kumpenda na kumuombea makubwa kwa Mungu wa mbinguni.
 
Hongera mkuu kwa mkusanyiko huu, maana hata kama akili za mtu haziko sawa ataelewa msimamo wa Chadema na viongozi wake wakuu unamaanisha nini.
Mtu kama Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah nk kama hawawezi kuelewa basi basi kuna hitlafu katika 🧠 hivyo ni wa kuhurumia tuu.
Natamani kila mwana JF a download clip hii na kuwatumia wabunge wa JMT na wale vibaka wa G55 pengine kwa aibu watakayojihisi watabadika.
Hawa wa mbogamboga watakewasitake watalainika tuu maana kuwabadili kwa hoja ni ngumu kuelewa.
G55 kesho watakuepo katika ofisi za Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi kama chadema, wakisaini kanuni za uchuguzi kwa mujibu wa sheria, wakiungana na vyama vingine vya kisiasa nchini kwenye hafla hiyo ya kikatiba🐒
 
Back
Top Bottom