ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kufa ni kufa tuu ni jinai au kosa la kutishia kupindua mamlaka au kuzuia uchaguzi?Maneno ya Siasa. Siasa ni Vita. Nyie huwa mnatoa kauli za Hovyo ngapi?
Mama yako alishawahi kutuambia kufa ni kufa tu !
Sikia, CCM Haiwezi kumuandalia mpinzani mazingira ya kushinda.na ndio maaana haitaki kufanya reform . So stop being naive, see the big picture
Kuna Li maulidi Kitenge, jinga kabisaWatu wanaanzaa kutoka kwenye Uchawa wanaongea ukweli wa Moyo.. Uchawa nao unahitaji kujitoa akili....
Mchakato unaanzia Afisa Mtendaji wa kata kama kukutambulisha kwa wilaya then mkoani then huko polisi. Wanaotoa endorsement ni hao watu wa chini afisa mtendaji, kamati ya Ulinzi ya wilayani … ikitoka hapo huko mkoani inapitishwa tu hadi Central . Watakuita for simple interview tu !Hivi mchakato wa kupata chuma kibongo bongo ukoje na ni shilingi ngapi kununua chuma ya matumizi ya kawaida tu kijilinga?
Asante sana nduguMchakato unaanzia Afisa Mtendaji wa kata kama kukutambulisha kwa wilaya then mkoani then huko polisi. Wanaotoa endorsement ni hao watu wa chini afisa mtendaji, kamati ya Ulinzi ya wilayani … ikitoka hapo huko mkoani inapitishwa tu hadi Central . Watakuita for simple interview tu !
But first thing first , unaenda kununua kwanza pale Tanganyina Army zinaanzia 2M hadi 10 M zipo inategeemea na mfuko wako. Utajaza form and all of that . Hiyo form ndio utaenda nayo kwa Afisa Mtendaji kata kuomba kibali…. Then mchakato utaenda hivo
Kama unataka za bei chei unaenda pale Ngome… Upanga nao wanauza and kuanzia 1.5 ….. nyingi zinatoka Soviet Union and more affordable but ni ngumu kupata maana hazikai, zinanunuliwa chap chap sna unless uwe na order already.
Kisha utaenda Range kufanyiwa mazoezi na kupata ethics za kutumia Chuma, kuitunza na kuifadhi
Etc etc
Ngoja waje kina Lucas, tlaatlaah, choice variable kwa speed kubisha hapa 😀Umeongea kweli tupu
Baba levo ni mwanasiasa so ana experience ya majukwaani kwa namna fulaniKama kawaida, Edo na Baba Levo ndio watu ambao they can speak nothing but truth .
Edo alishawahi kumwambia Cheusi kuwa asiseme watu wanajiteka wakati wanapoteza familia zao.
Baba Levo ana inborn Character ya intelligence….he is smart ….. baba levo ni Alama kuwa kusoma sio kuwa na akili.
Oscar kwenye mijadala ya SIASA asiwe Anawekwa…..hana confidence na nikama vile anataka kuuma na kupuliza.
Hawezi kuongea anachokiamini…. In one straight language kama wenzie.
Jeshi la Polisi halina Ustaarabu full stop. Mambo ya najua hatuwafundishi kazi with all that ni mambo ya tabia za watu wa neutrality…
kwani ni lazima kucomment kwenye mada za siasa…? . Kuna mambo ya simba na yanga pia if you can’t speak yourself!
Mwisho, waandishi wa habari na mnaojiita Mastaa kuweni makini na uchawa na neutrality….. hakuna alietegemea Trump angerudi madarakani…….. maisha huwa yanachange sana , kuna watu waliamini JPM( PhD Holder) asingekufa mapema vile….kuna watu walimchukulia poa Samia wakawa wanamuona kama kifurushi tu pale state, ila leo ndio Rais … anatoa orders
Siasa ni kama kinyonga umdhaniae siye…ndiye …..worst enough technology ya sasa inaweka records
Hivyo ….usiji expose sana kwenye uchawa na neutrality… just speak the truth…… truth will set you free
Watu wanaoongea kweli … they are always safe in the eye of Almighty
Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
Ottawa
Canada
Usisahau watangazaji mwaka 2018 hadi 2019 walipata sana Teuzi.Oscar kwenye mijadala ya SIASA asiwe Anawekwa…..hana confidence na nikama vile anataka kuuma na kupuliza.
😅😅😅😅watabisha mpaka Machozi na macho yawatokeNgoja waje kina Lucas, tlaatlaah, choice variable kwa speed kubisha hapa 😀
Kwa watu wengi nilio waona ki bongo bongo na kushuhudia pistol hazijawai kuwasaidia zaidi ya kuleta madhara.......Hivi mchakato wa kupata chuma kibongo bongo ukoje na ni shilingi ngapi kununua chuma ya matumizi ya kawaida tu kijilinga?
Tlaatlaah huyu gentleman 😊 ni kazi maalum..Ila kimoyo moyo huwa anajuaga no reforms no ELECTION ni Jambo zuri na Lina maslahi mapana kitaifaa.😅😅😅😅watabisha mpaka Machozi na macho yawatoke
SahihiTlaatlaah huyu gentleman 😊 ni kazi maalum..Ila kimoyo moyo huwa anajuaga no reforms no ELECTION ni Jambo zuri na Lina maslahi mapana kitaifaa.
Hongera mkuu kwa mkusanyiko huu, maana hata kama akili za mtu haziko sawa ataelewa msimamo wa Chadema na viongozi wake wakuu unamaanisha nini.
Acheni kujitekenya na kujichekesha wenyeweHongera mkuu kwa mkusanyiko huu, maana hata kama akili za mtu haziko sawa ataelewa msimamo wa Chadema na viongozi wake wakuu unamaanisha nini.
Mtu kama Lucas Mwashambwa Tlaatlaah nk kama hawawezi kuelewa basi basi kuna hitlafu katika 🧠 hivyo ni wa kuhurumia tuu.
Natamani kila mwana JF a download clip hii na kuwatumia wabunge wa JMT na wale vibaka wa G55 pengine kwa aibu watakayojihisi watabadika.
Hawa wa mbogamboga watakewasitake watalainika tuu maana kuwabadili kwa hoja ni ngumu kuelewa.
Kiwango cha chini mno cha IQ kuweza kuelewa nimesema nini!Acheni kujitekenya na kujichekesha wenyewe