Africa mataifa bora ni machache sana. Ni upuuzi kujisifia umepata D kwa sababu wengine wote darasani kwako wamepata F.Tanzania ni taifa bora kushinda mataifa mengi barani afrika....
Hivi lilivyo ndio USALAMA NA UTULIVU WETU.......
Hasta la Victoria El Comandante JKN [emoji120]
Rip Julius K.Nyerere ,amen[emoji120]
Siempre URT[emoji120]
Hakuna mhimili unaolisha mwingine, pesa yote ya kuendesha nchi inatoka kwa wananchi kupitia kodi na tozo.Kwa hiyo mhimili uliojichimbia haulishi mingine?
Na bahati mbaya au nzuri mhimili huu ni chama dolaHuo mhimili uliojichimbia chini,haujajichimbia tu Bali una mizizi iliyotawanyika kwenda mbali nadhini tulionana ikitokea mikoa mbalimbali kwenda magogoni
Wewe hauhusiki au sio?Hakuna cha kujichimbia chini wala nini hapo shida ni unafiki tupu ndio unao wasumbua viongozi walio wengi pamoja na wananchi wao.
Mimi sihusiki, kwenye nyeusi nasema nyeusi na nyeupe nasema nyeupe.Wewe hauhusiki au sio?
Hii iliyopo pia ingetekelezwa kwa 75% tu kungekuwa na mabadiliko na nidhamu ya kazi ingeonekana.Haya yote ni mapungufu ya katiba iliyopo, na inadhihirisha ni kwa namna gani kama nchi tunahitaji katiba mpya.
JPM alichokifanya ni kusema ukweli kwamba mhimili wa u rais umejichimbia zaidi kuliko mingine.
Huna hiyo jeuri toka hadharani sio jf hapa.Mimi sihusiki, kwenye nyeusi nasema nyeusi na nyeupe nasema nyeupe.
We kalio kweli, hunijui sikujui sasa unabisha nini?Huna hiyo jeuri toka hadharani sio jf hapa.
Huna hiyo jeuri kalio mkubwaWe kalio kweli, hunijui sikujui sasa unabisha nini?
Unadhania tukipata katiba mpya Executive branch itakuwa sawa na bunge na mahakama? Ni nchi gani ipo hivyo?Haya yote ni mapungufu ya katiba iliyopo, na inadhihirisha ni kwa namna gani kama nchi tunahitaji katiba mpya.
JPM alichokifanya ni kusema ukweli kwamba mhimili wa u rais umejichimbia zaidi kuliko mingine.
Unadhania tukipata katiba mpya Executive branch itakuwa sawa na bunge na mahakama? Ni nchi gani ipo hivyo?