Leo yametimia yaliyosemwa na Hayati Magufuli mhimili mmoja umejichimbia zaidi na ndio unaolipa mishahara mihimili mingine.

Leo yametimia yaliyosemwa na Hayati Magufuli mhimili mmoja umejichimbia zaidi na ndio unaolipa mishahara mihimili mingine.

Tanzania ni taifa bora kushinda mataifa mengi barani afrika....

Hivi lilivyo ndio USALAMA NA UTULIVU WETU.......

Hasta la Victoria El Comandante JKN [emoji120]

Rip Julius K.Nyerere ,amen[emoji120]

Siempre URT[emoji120]
Africa mataifa bora ni machache sana. Ni upuuzi kujisifia umepata D kwa sababu wengine wote darasani kwako wamepata F.
 
Kwa hiyo mhimili uliojichimbia haulishi mingine?
Hakuna mhimili unaolisha mwingine, pesa yote ya kuendesha nchi inatoka kwa wananchi kupitia kodi na tozo.
 
Huu muhimili ulitaka kufufuka katikati ya nchi yenye muhimili mmoja👇😁😁😁
 
Haya yote ni mapungufu ya katiba iliyopo, na inadhihirisha ni kwa namna gani kama nchi tunahitaji katiba mpya.

JPM alichokifanya ni kusema ukweli kwamba mhimili wa u rais umejichimbia zaidi kuliko mingine.
Hii iliyopo pia ingetekelezwa kwa 75% tu kungekuwa na mabadiliko na nidhamu ya kazi ingeonekana.

Mfano katiba inasema wazi kuwa huwezi kuwa mbunge kama huna chama cha siasa.
 
Africa mataifa bora ni machache sana. Ni upuuzi kujisifia umepata D kwa sababu wengine wote darasani kwako wamepata F.
Huu mfano sio relevant
 
Haya yote ni mapungufu ya katiba iliyopo, na inadhihirisha ni kwa namna gani kama nchi tunahitaji katiba mpya.

JPM alichokifanya ni kusema ukweli kwamba mhimili wa u rais umejichimbia zaidi kuliko mingine.
Unadhania tukipata katiba mpya Executive branch itakuwa sawa na bunge na mahakama? Ni nchi gani ipo hivyo?
 
Unadhania tukipata katiba mpya Executive branch itakuwa sawa na bunge na mahakama? Ni nchi gani ipo hivyo?

Ujingaujinga mwingi sana utapungua!
Lakini tatizo langu mara zote lipo hapo kwenye kuitekeleza katiba, hata iliyopo haifuatwi.
 
Mihimili kana mahakama, na bunge ni mihimili inayosaidia mhimili mkuu na uliojikita zaidi ili kuweka uwazi,mm naona mahakama na bunge zipo kuisaidia na kuisimamia na kuupa nguvu mhimili mkuu ktk mifumo ya haki,sera na sheria ,hii mihimili 2 inaondoa tripple standard kwa mhimili mama, hata kwenye familia haba hawezi at the sametime kuwasa mama,na mtoto japo baba siku zote ndio hivyo mabega ni juu juu 2 kwa kuwa anakuwa anajua yy ndiye kila kitu, tôp of everything ,ndivyo mh.samia alichofanya kwa ndugai ,,,hii nchi haina full separation of power ktk hii mihimili usipokuwa upinzan ukikosoa 2 unaitwa msaliti,na upinzani ukiitwa ADUI YETU.
 
Back
Top Bottom