Mihimili kana mahakama, na bunge ni mihimili inayosaidia mhimili mkuu na uliojikita zaidi ili kuweka uwazi,mm naona mahakama na bunge zipo kuisaidia na kuisimamia na kuupa nguvu mhimili mkuu ktk mifumo ya haki,sera na sheria ,hii mihimili 2 inaondoa tripple standard kwa mhimili mama, hata kwenye familia haba hawezi at the sametime kuwasa mama,na mtoto japo baba siku zote ndio hivyo mabega ni juu juu 2 kwa kuwa anakuwa anajua yy ndiye kila kitu, tôp of everything ,ndivyo mh.samia alichofanya kwa ndugai ,,,hii nchi haina full separation of power ktk hii mihimili usipokuwa upinzan ukikosoa 2 unaitwa msaliti,na upinzani ukiitwa ADUI YETU.