Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Hivi ukitongozwa na mdada inatakiwa ujibuje?
Maana huko PM mpaka nimeifunga, sina cha kuwajibu.
 
Tunawatongozea wapi jamani hapa hapa au pm? nitupe ndoano kwa crush😂😂😂😂
 
Ni shawahi kutongozwa na Binti masiku kitambo kidogo...........alikua na wenzake, ndipo alipata ujasiri wa ajabu, Laah nakwambia nili 'blush', sikuweza kumjibu hapo hapo nikamwambia, nimesikia yoote na nitakujibu tukiwa mimi nawe pekee . Hakuniona tena!!!
 
kwa ID hizi feki utajuaje kama umetongozwa na mwanamke, mwanaume mwenzako au shoga.?
 
Back
Top Bottom