Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Kama ana akili basi kimasiala umekwisha

Nnahkika ukiaga ofsin kwke akikuvizia mlangoni kabla hujatoka akikudaka na kukuvutia ndani tu utakua ushaloa
Amka usingizini kumekucha. Tho mimi sio cheap kiasi hicho.nakukumbusha tu.na ikitokea jua mimi ni ndo nimeamua na nina malengo yangu.
 
Sisi huwa tunawashawishi tupate tunayoyataka mpaka wanajikuta wametoa, wakishatoa hawaelewi ilikuaje wakatoa.

Na wao watushawishi tuwahonge maana inasemekana watakacho ni pesa. Nipigwe sound mpaka nitume mhamala wa milioni moja nikishatuma nisielewe ilikuaje nikatoa.
Hakuna mwenye huo ubavu pesa zenu njilie tu. zimetushinda
 
Back
Top Bottom