Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Utume na ya kutolea kabisa, ukizingatia na tozo zoteTuwatongoze na hela tuwape au hivi hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utume na ya kutolea kabisa, ukizingatia na tozo zoteTuwatongoze na hela tuwape au hivi hivi
Watu ni wasiri sana, kumbe kulikuwa na uwanja wa namna hiyo halafu hqmasemi[emoji15]Weeeee JLW nakosaje mie weehh nilikuepo mbona!! kuna mwamba Makaveli10 alikua noumaa sana kuleee!!
Sema kule nilikua msomaji zaidi kuliko kuchangia
Weeeeee hapo kwenye vocha unanionea best kwanza mie nishashindwaga kukimbizana na madogo kuwahi vocha madogo wana speed hatare nauzee huu nitawaweka wapi mie!!?🤔🤔😉[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siku nikitupia nitakutag maana wewe ndio mlinzi wa ule uzi muda mwingi upo active kudaka vocha za Mjep.
Hahahahaaaa!!! Acha kabisa mkuu kule ilikuaaa nukseeeeeeeeee!? 🤸🤸💃Watu ni wasiri sana, kumbe kulikuwa na uwanja wa namna hiyo halafu hqmasemi[emoji15]
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂!! Awamu mpya hii buana 🤸🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃😂😂🤣🤣,!!Wewe mwanzoni Smartphone alikukataza usiweke picha ulipokuwa unamuomba ruhusa. Ila Sasa hivi ndio umekuwa Concord
Yeah mie nawaitaga bana !! Ila. midamida zikiwekwa wakakaa masaa huko bila kuja napita nazo mwenyewe Kuliko zibebwe na wakulungwa 🤣🤣🤭🤭Ila huwa naona unawaita mashost zako wawahi hizo vocha, Ila huwa zinachukuliwa na watu ambao hata sio member.
Jamani!!!🤐🤐😎😎😎😎Usikimbie kijiwe MMU kukumbizana na damu changa nayo kazi. Ila nyie walimu Mnaweza kupambana na vijana.
Je nikikutongoza utakubaliiNasubiri hilo tongozo hapa,vile nitasumbua/dengua na pigo za sitaki nataka
Karibu sana unipige verse, uwanja ni wenu huuNipo mkuu
Pole sana kama hujajua ni shogaSina uhakika kama Ke au Shoga
Hahahah uliamini kuwa urefu utakusaidia kweli😂😂😂 thats a scamSiamini mpk sasa hakuna mdada alieniApproach na Urefu wangu wote huu!
Jamanii.... !! pisi kali my foot!!! Poyoyo tu mie!! Halafu unaharibu Uzi wawatu ujue twende uwanja wa kujidai jamanii!!Unapokuwa Mwalimu Pisi Kali madogo(wanafunzi) nao wankumendea, ulishagundua Hilo?
Ha ha haaa au mimi ndo mgeni ?hahahaha eti 'huyo jamaa'
Kwamba sie tunakaa na wajinga hata 500+ mjinga mmoja wawili hawatusumbui Akili kabisa ausio [emoji1787][emoji1787][emoji8][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2214][emoji2214]!!Usikimbie kijiwe MMU kukumbizana na damu changa nayo kazi. Ila nyie walimu Mnaweza kupambana na vijana.
Ha ha haaa kumbe ndo kigezoMhhh utongoze alafu uliwe wewe mtongozaji. Mleta Uzi unataka tuingiza chaka ee
Ndio nakushika mkono haya twende..🚶🏼♀️🚶Kule Mimi mgeni....Nina comments mbili tu labda unishike mkono.