Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐😎😎😎😎!Kuna moja hiyo ulikuwa pembeni ya gari.wewe toka kitambo kabla ya uzi wa picha ulikuwa unapost picha humu. Siku nimeona picha kule kwenye uzi wenu na kina HS nikasema hii pisi Kali ndio ilijificha kwenye zile pensi na mashati ya draft,duh ilikuwa Almas mchangani
Your former username pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!