Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Ndugu umekubuhu unahamia kwa mapunga sasa Mungu akunusuru.
Kutongoza ni sanaa mkuu,

Sasa tunataka tuone umaridadi wa upande huu, tushazoea sisi(Me) ndio tunaotongoza, mbinu zako haziwezi kuwa sawa na zangu(hiyo ndio sanaa na kila mmoja ana kipaji chake).

Hawa upande huu nao wapo ebu tuone watiririke na hili haliwezi kuwa na athari kwangu binafsi
 
Upo sawa je huyo ulo muomba ni mwanamke au shoga?
 
Back
Top Bottom