🤣🤣🤣🤣🤣 mimi nina staha siwezi fika hukoMm naona mwisho kukudharau tu Bora unyamaze tu ukute mkaka ambae anashobokewa na wadada na wew ukianza anakuweka kwenye kundilile lile japo inawezekana unapenda kweli
Sina huo ubavu. Wacha iwe hivyo kimya kimya.nina aibu sana sijawahi kufanyagabhayo mamboSa unashindwa Nini luckyline halafu ukute hata yeye anawaza akuanze vipi.
Toa neno moja tu au fanya kitu kimoja Cha kumfanya awaze (kwani huyu dada ananionaje Mimi) Kisha yeye (kama ni mwanaume kamili) atamalizia.
Jamani mwenzio nimekuzimikia ujueMpenzi wangu wa siku nyingi nitongoze basi leo nijisikie mnene na nilieshiba[emoji16][emoji16][emoji16]
Kijana kwanza unayakutolea?Dah mpaka sasa bilabila. Wadada Ina maana hamtuoni au mnapenda mastaa wa JF kama akina Mpwayungu ?[emoji23][emoji23]
hahahahaha.tuwe wapoleDah mpaka sasa bilabila. Wadada Ina maana hamtuoni au mnapenda mastaa wa JF kama akina Mpwayungu ?[emoji23][emoji23]
Mbona unanifokea badala ya kunipiga saundi...Kijana kwanza unayakutolea?
Mzigua90 vipi vocal na sound zako?Umbea tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hela tunazo lakini hizo huwa ni za kwetu.pili kama utapigwa sound hela utatowa weweHv hao wadada mnaotaka watutongoze. Wana hela ya vocha?wana akaunti ya maana? Wanaweza kutuma na ya kutolea? Maana dah unaeza tongozwa ukatoa,ukajuta km wao wanavojutaga
NB: KIJUMBE NDO DEAL
hahahaha,kudadekiHela tunazo lakini hizo huwa ni za kwetu.pili kama utapigwa sound hela utatowa wewe
Woga wako tu. Hata hakuna mtego wowote hapo.Haka ka mtego nimekapenda!!
🤣🤣🤣Wadada hawawezi kutongoza😁Jamani mwenzio nimekuzimikia ujue
Hata mi nimekufia kwa moyo ila nilikuwa naogopa kukwambia,nywele zako zinafanya kidevu changu kitake kuangukaKweli kabisa.
Utapoteza nafasi uje kujilaumu. Ila nahisi bado Kuna upande wako haujamkubali. La sivyo aibu ungeziweka pembeni, ungetafuta namna ya kumfikishia ujumbe.Sina huo ubavu. Wacha iwe hivyo kimya kimya.nina aibu sana sijawahi kufanyagabhayo mambo
Nilikuwa nataka nitupie mistari nilivyoona hii nikaona bora tuu niache 😀😀Nitag sasa aunt
Hata kama hujanitag mimi nimeshakubali😉
Yaani kuniquote tuu ni mistari tosha sweetie😍😍😍 mimi tayari nimekubaaliNilikuwa nataka nitupie mistari nilivyoona hii nikaona bora tuu niache 😀😀
Hahaha ile ya sophy pia umekubaliYaani kuniquote tuu ni mistari tosha sweetie😍😍😍 mimi tayari nimekubaali
Enwei, ngoja nijaribu..!!
Kila nikiiona comment yako mahali hapa naishia kutabasamu, sababu zaidi ya yote huwa ninaona kujiamini kwako ndani yake, cha kushangaza ni kuwa mapigo ya moyo wangu hubadilika na kudunda kwa kasi nilionapo tu jina lako, hujikuta natabasamu na kucheka hata kwa vitu vidogo vitokavyo kwako na visivyo na maana kabisa,
Lengo hasa la kuyaandika yote haya ni kutaka kukueleza ni jinsi gani wautesa mtima wangu, ninahisi kuvutiwa na kila kitu kuhusu wewe, hata avatar isiyo yako halisi inanifanya niachie tabasamu mwanana,
Natamani niendelee kukuonesha ni namna gani nimebarikiwa kukutana na wewe mahala hapa, ila hapana muda si rafiki sana upande wetu, hivyo naomba tafadhali uubariki moyo wangu kwa kunikubalia niwe wako, niamini Mimi, kunikubali ni kati ya maamuzi machache hutokaa ujutie kuyafanya kamwe, ...... please be mine..!
(Huku nakutazama machoni kwa macho ya maqhaba, ukichomoa niite andazi niko nimekaa pale)