Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Kutongoza ni kipaji sasa ukiwaambia watongoze hawawezi ukiwatongoza wanasema hatujui!
Acha tu, nimeshtukaa kidogo nidondoshe simu baada ya kuona id ya mhusika.
 
wakati nakutongoza utakua unatafuna kijiti au unachimba mchanga na kidole? Ya kutolea itahusika?
Fanya ndio utaona kama nitatanya hivyo au la
hahahahaha,una hofu?
Sina hofu, uwanja upo wazi kwa mdada yeyote ambaye anaweza kupiga sound ili nione umariradi wake. Huyo jamaa nimemjibu vile kulingana na swali lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…