Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Wee cognition hii username ndio ulikua unatumia Zamani???[emoji6][emoji848][emoji848][emoji848]

Walai umenikumbusha mbali kitambooo!! Enzi za zile avatar za kitom boy lol!!
Mimi mkongwe mwenzio,nilijiunga mwanzoni 2013. Ila nilitumia ID nyingine kipindi hicho. Chitchat yenu ya kipindi hicho ilikuwa ya kuheshimiana Sana,Mimi ni introvert so huwa napenda kuwasoma nyie "mastaa"[emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92] wa jf. Kiufupi nakumbuka matukio kibao. Hivi ulikuwa unafanya kazi Kagera?
 
Kama sijachanyanya mafaili kuna siku ulisemaga utaleta uzi wa kuhusu mkaka mmoja mattatta sana wahumu mlikutana kwa ishues za kibiashara mamy!! Hivi ulishauwekaga???
Au ndio nazeeka vibaya???πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Pole mwaya!! Been there...😡😡
 
Sisi huwa tunawashawishi tupate tunayoyataka mpaka wanajikuta wametoa, wakishatoa hawaelewi ilikuaje wakatoa.

Na wao watushawishi tuwahonge maana inasemekana watakacho ni pesa. Nipigwe sound mpaka nitume mhamala wa milioni moja nikishatuma nisielewe ilikuaje nikatoa.
 
hahahaha
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…