Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
- Thread starter
- #1,001
Sasa si ninajikuna pale mkono unapofika? Naandaa budget ya 5ml naamini itatosha ya sisi kuspend na kukuspoil habibty wangu.Me sitak cake kubwa cz sina pa kuipeleka hiyo inayobaki.
Huko zanzibar, serenget, udzungwa naenda kufanya nin wakati huo ndo mwezi mzuri wa kutulia.