Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Me sitak cake kubwa cz sina pa kuipeleka hiyo inayobaki.
Huko zanzibar, serenget, udzungwa naenda kufanya nin wakati huo ndo mwezi mzuri wa kutulia.
Sasa si ninajikuna pale mkono unapofika? Naandaa budget ya 5ml naamini itatosha ya sisi kuspend na kukuspoil habibty wangu.
 
😂😂😂😂Ila Poker kwa hyo unataka ya bei ndogo.
Mim napenda black forest au red velvet, napenda zawadi lakin hua naridhika hata iwe ni zawadi ndogo.
Cake utaninunulia black forest vipande viwili tu elf 6 kimoja alfu zawadi ndio uninunulie mzawadi mkubwaaaaa😍😍😍
Mmh unapenda black forest na red velvet kama mimi tu eeh 😆💖
 
Back
Top Bottom