Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Mtoano (Timu husika),Makundi match 5 za mwanzo(Timu husika),match ya 6(Ni CAF kuepuka upangaji wa matokeo),Robo ni timu husika (Japa kuna time frame kutoka CAF kuhusiana na muda,saa 10 jion - saa 4 usiku!!.Anayepanga/kupendekeza muda wa game ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app