Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,198
- 4,191
ππππππππHahahaha yaani hapo ni sawa na ku sumu ili ufe vizuri,huchukui round!!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππHahahaha yaani hapo ni sawa na ku sumu ili ufe vizuri,huchukui round!!..
Sent using Jamii Forums mobile app
hii sio point 3 stage, hii ni goals aggregate stage
muache mapema tabia yenu ya taifa mnashinda 1-0 au 2-1 halafu away mnafungwa 5-0
Tujuavyo sis timu yoyote ikicheza na simba kwa mchina pale hatoki. Iwe timu ya kutoka ndani kama yanga, azam etc aukuto nje kwa mchina hatoki. Sasa timu yoyote kwa simba sawa tu.Kwakuwa washindi wa pili wa makundi (kama alivyokuwa Simba) watapangwa na waliokuwa washindi wa kwanza, Simba hana jinsi Zaidi ya kusubiri mojawapo kati ya mechi hizi za robo fainali. Leo ndiyo leo:
Simba v TP Mazembe (DR Congo-Bingwa mara tano wa mashindano haya mara ya mwisho ikiwa ni mwaka 2015 )?
Simba v Wydad Casablanca (Morocco-Mabingwa wa 2017 Klabu Bingwa Afrika na Mcheza fainali wa mwaka jana Shirikisho Afrika)?
Simba v Esperance (Tunisia-Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa Afrika)?
Watani mchague kabisa na mjiandae kisaikolojia kushangilia au kutukimbia!ππππ
Point Of Correctionhapo umeongea uongo na kuongeza chumvi.. mazembe hajachukua champions league mara 5.. in last 10 years.. alichukuaga zingine zamani miaka ya 80s.. kuanzia 2009-2019 ametwaa mataji ila sio matano
Sisi wengine ni mashabiki wa Dar Young Africans lakini tunawaombea kila la heri Simba SC, kitaifa sisi ni wapinzani na watani wa jadi lakini kimataifa lazima tuwe pamoja, nanyi Simba mjifunze haya mkiwa mnataka kuwa wastaarabu.Yaan nyie mashabiki wa Yanga hamjui dunia inavoenda lakn hamtak kuelekezwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alliance Football ClubHivi droo ya azam confederation, yanga kapangwa na Nani!?
Kwel Mtaan!!.Sisi wengine ni mashabiki wa Dar Young Africans lakini tunawaombea kila la heri Simba SC, kitaifa sisi ni wapinzani na watani wa jadi lakini kimataifa lazima tuwe pamoja, nanyi Simba mjifunze haya mkiwa mnataka kuwa wastaarabu.
Ni rahisi sana Simba kuwafunga waarabu magoli kwa difference ya 1+ kutokana na joto kali la Dar na pia ngozi za waarabu kutoweza himili joto kali, endapo mechi itachezwa jioni ya saa kumi au mchana. ila ni ngumu sana kuifunga T.P Mazembe kwa difference ya 1+ kwasababu wanaweza kuendana na hali ya hewa iliyopo Dar. Na kufanya mechi ya marudio kuwa ngumu sana na Simba.simba sababu anaanzia nyumbani bora apangiwe mazembe.. simba ana chance kubwa ya kumtoa mazembe.. kuliko kumtoa wydad au esperence kwa game ya pili ya kumalizia away atapigwa nyingi sana kule...
Ongezea na hiiPoint Of Correction
MAZEMBE 2009 - 2019
CCL (Caf Champions League)
2009 - Champion
2010 - Champion
2015 - Champion
CCC (Confederation)
2013 - Finalist
2016 - Champions
2017 - Champions
Caf Super Cup
2010 - Champions
2011 - Champions
2016 - Champions
Sent using Jamii Forums mobile app
Zuhura atafurahi sana maana ni kama yuko kifungoni hasikiki mtandaoni saizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona zahera cjui atafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana simba wote tuseme AmenSisi wengine ni mashabiki wa Dar Young Africans lakini tunawaombea kila la heri Simba SC, kitaifa sisi ni wapinzani na watani wa jadi lakini kimataifa lazima tuwe pamoja, nanyi Simba mjifunze haya mkiwa mnataka kuwa wastaarabu.
CAF Confederation Cup Final mwaka Jana walicheza AS Vital vs Raja Casablanca wewe unadanganya watu kwamba ni Wydad Casablanca Acha uongo.
Kwahyo simba ni Andadogi sio?Upande wa pili timu zote Zenye uwezekano wa kukutana na Simba.... Zinamtaka Simba .... kwamba ndo Mwenye afadhali... Kwa hyo yeyote atakayekutana na Simba Lazima apige vigelegele...
Sent using Jamii Forums mobile app