Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Mtoano (Timu husika),Makundi match 5 za mwanzo(Timu husika),match ya 6(Ni CAF kuepuka upangaji wa matokeo),Robo ni timu husika (Japa kuna time frame kutoka CAF kuhusiana na muda,saa 10 jion - saa 4 usiku!!.Anayepanga/kupendekeza muda wa game ni nani?
Hahaha Mkuu huyo jamaa balaa sana Ac Vita akasome, kuanzia 2009 - 2019 kachukua Champions League(CCL) mara 5,Shirikisho(CCC)mara 3,semi final (CCL) mara 8,African Cup mara 1,kacheza club bingwa Dunia fainali na Inter Millan,si mchezo mkuu!!!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu muelimishe jangwan mwenzakoHawakutani kwa namna yoyote ile.
Hahaha little faith Mkuu,ila jamaa wanajua sana!!.[emoji20][emoji20][emoji20] kuna kupona kweli hapa!!!!?
ππ kitaeleweka tu,Naanza leo kuiombea thimba
[emoji4] hata mimi aisee,nitakuwa happy sana endapo tutafanikiwa next stage!!.[emoji4][emoji4] kitaeleweka tu,Naanza leo kuiombea thimba
Siwezi kuwa mshabiki wa klabu HOVYO kama hiyo.
Ila ukiwa shabiki wa mpira inabidi usiwe na tatizo la pressure,maana duu!![emoji4] hata mimi aisee,nitakuwa happy sana endapo tutafanikiwa next stage!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe me Na wew familia moja sorrySiwezi kuwa mshabiki wa klabu HOVYO kama hiyo.
Kweli Mkuu,maana juzi tu nilikuwa nahisi kama roho inatoka inarudi inatoka inarudi,tuliposhinda nikapata relief kabisa,ndio nikajua kwanin watu huw wanazimia uwanjan!!.Ila ukiwa shabiki wa mpira inabidi usiwe na tatizo la pressure,maana duu!!
Kweli Mkuu,maana juzi tu nilikuwa nahisi kama roho inatoka inarudi inatoka inarudi,tuliposhinda nikapata relief kabisa,ndio nikajua kwanin watu huw wanazimia uwanjan!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ halafu ukute umebeti sasa!!Kweli Mkuu,maana juzi tu nilikuwa nahisi kama roho inatoka inarudi inatoka inarudi,tuliposhinda nikapata relief kabisa,ndio nikajua kwanin watu huw wanazimia uwanjan!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa ndg yangu yaan kweli football is a psychological game usipokuwa makini unaondoka kwa BP au heart attack!!..game mwishoni ilikuwa na presha sana ya kushambuliana kwa zamu
Game ya juzi sikuangalia,muda ambao game inaanza mi niko njian napelekwa hosp,niliona matokeo tu na videos fupi fupiππππ halafu ukute umebeti sasa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona zahera cjui atafanyajeTukimpata mkongo mwingine itapendeza sana
Hahahaha yaani hapo ni sawa na ku overdose sumu ili ufe vizuri,huchukui round!!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu ukute umebeti sasa!!