GE2025 Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza

GE2025 Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) Julai 12, 2025 kimeandika “Tunapenda kuutaarifu umma kuwa leo tarehe 12 Julai 2025 Bw. Leonard Joseph Magere, Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji, amezuiwa na mamlaka ya uahamiaji kusafiri kuelekea nchini Uingereza usiku huu.”

IMG_8091.jpeg
 
Kwa hapa tulipofikia Itakuwa Miujiza kuamini kwamba Chadema haitalipa Kisasi huko Mbele kwa haya maovu ya kijinga wanayofanyiwa.

Kiongozi kakamatwa Uwanja wa ndege na Askari wa Tanzania na kuzuiliwa kusafiri halafu sasa hajulikani alipo.

Screenshot_2025-07-13-15-06-21-1.png


Haifahamiki kama yuko hai au naye kauawa kama Soka na wengine
 
Kwa hapa tulipofikia Itakuwa Miujiza kuamini kwamba Chadema haitalipa Kisasi huko Mbele kwa haya maovu ya kijinga wanayofanyiwa.

Kiongozi kakamatwa Uwanja wa ndege na Askari wa Tanzania na kuzuiliwa kusafiri halafu sasa hajulikani alipo.

View attachment 3404374

Haifahamiki kama yuko hai au naye kauawa kama Soka na wengine
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom