GE2025 Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza

GE2025 Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Endeleeni kuwaomba na kujiliza mpaka wawamalize sababu hamjielewi washawaona wajinga na watawaua na kuwalawiti sana tu sababu mpo kama manyumbu hamna mbinu mnaendaenda tu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naona sasa Samia kaamua ku deal na CDM In & Out. Yaani wakiweka mguu na yeye kafika.
Msaada wa CDM sasa ni Mungu mwenyewe pamoja na wahisani. Msaada wa raia hautatoshi.
Na hapa wanatafuta namna ya ka upenyo ka kisheria ili waifite kabisa - wasiwasi ni je Dunia itawaelewaje?
 
Naona sasa Samia kaamua ku deal na CDM in out. Yaani wakiweka mguu na yeye kafika.
Msaada wa CDM sasa ni Mungu mwenyewe pamoja na wahisani. Msaada wa raia hautatoshi.
Na hapa wanatafuta namna ya ka upenyo ka kisheria ili waifite kabisa - wasiwasi ni je Dunia itawaelewaje?
Ngoja tuone
 
Watalipaje kisasi kutokea jela au Ubelgiji? Inasemekana huyu Brenda ndiye aliyewaambis Wazungu kuwa Lissu kalishwa sumu, breakingnews ilianzia Ulaya si unamkumbuka? Hapa kakutwa alienda huko kupokea vinono Bei ya Usaliti. Kayasema haya ni Wakili Dr Rugemaliza Mashalla alipoulizwa TV hartujui undani wake labda CHADEMA watoke wafafanue.
 
Kwa hapa tulipofikia Itakuwa Miujiza kuamini kwamba Chadema haitalipa Kisasi huko Mbele kwa haya maovu ya kijinga wanayofanyiwa.

Kiongozi kakamatwa Uwanja wa ndege na Askari wa Tanzania na kuzuiliwa kusafiri halafu sasa hajulikani alipo.

View attachment 3404374

Haifahamiki kama yuko hai au naye kauawa kama Soka na wengine
Haifahamiki kama yuko hai au naye kauawa kama Soka na wengine🥺🥺🥺😭😭😭🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Back
Top Bottom