Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hakuna mahali Shetani aliwahi kumshinda Mungu, jaribu kufuatilia hiliWatalipaje kisasi kutokea jela au Ubelgiji? Inasemekana huyu Brenda ndiye aliyewaambis Wazungu kuwa Lissu kalishwa sumu, breakingnews ilianzia Ulaya si unamkumbuka? Hapa kakutwa alienda huko kupokea vinono Bei ya Usaliti. Kayasema haya ni Wakili Dr Rugemaliza Mashalla alipoulizwa TV hartujui undani wake labda CHADEMA watoke wafafanue.