Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
CHADEMA hawatashiriki uchaguzi, wameachiwa wenyewe CCM wajishindie wanavyotaka.wanaogopa nn?
Huenda ameuawa
Inasikitisha sana...Huenda ameuawa
Inasikitisha sanaKwa hapa tulipofikia Itakuwa Miujiza kuamini kwamba Chadema haitalipa Kisasi huko Mbele kwa haya maovu ya kijinga wanayofanyiwa.
Kiongozi kakamatwa Uwanja wa ndege na Askari wa Tanzania na kuzuiliwa kusafiri halafu sasa hajulikani alipo.
View attachment 3404374
Haifahamiki kama yuko hai au naye kauawa kama Soka na wengine
Kuja kufika October tutaona mengi.
Wewe mwenyewe sikuaminiKila Ubaya Utalipwa
Ukishatangazwa inakuwa afadhali. Utakula virungu tu na kuvunjwa miguu ila utarudi mzima.Hawawezi kumuua wakati wametangaza kashikwa
Ni kweli na una akili sana, siku zote usiamini yoyote, japo mimi sijawahi kuteka mtuWewe mwenyewe sikuamini