GE2025 Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Endeleeni kuwaomba na kujiliza mpaka wawamalize sababu hamjielewi washawaona wajinga na watawaua na kuwalawiti sana tu sababu mpo kama manyumbu hamna mbinu mnaendaenda tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Naona sasa Samia kaamua ku deal na CDM In & Out. Yaani wakiweka mguu na yeye kafika.
Msaada wa CDM sasa ni Mungu mwenyewe pamoja na wahisani. Msaada wa raia hautatoshi.
Na hapa wanatafuta namna ya ka upenyo ka kisheria ili waifite kabisa - wasiwasi ni je Dunia itawaelewaje?
 
Ngoja tuone
 
Uchungu wa uzazi unaletaga kichaa Cha mimba.
 
Watalipaje kisasi kutokea jela au Ubelgiji? Inasemekana huyu Brenda ndiye aliyewaambis Wazungu kuwa Lissu kalishwa sumu, breakingnews ilianzia Ulaya si unamkumbuka? Hapa kakutwa alienda huko kupokea vinono Bei ya Usaliti. Kayasema haya ni Wakili Dr Rugemaliza Mashalla alipoulizwa TV hartujui undani wake labda CHADEMA watoke wafafanue.
 
Haifahamiki kama yuko hai au naye kauawa kama Soka na wengine๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ