Leonard Mahenda Qwihaya ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

Labda walivutiwa na speech yake
Dah!
Spichi tu, bila ya historia ya matendo ya mwanachama ndani ya chama inayoendana na spichi hiyo?
Hapana, hapa patakuwepo zaidi ya mvuto wa spichi tu.
 
jamaa anaukwasi wa kibiashara , sio ukwasi wa kisiasa kama wa marope.
Jamaa ameona ajiunge kwenye siasa ili ale kiulaini zaidi, nia ni ubunge tu 2025
Jimbo gani
 
jamaa anaukwasi wa kibiashara , sio ukwasi wa kisiasa kama wa marope.
Jamaa ameona ajiunge kwenye siasa ili ale kiulaini zaidi, nia ni ubunge tu 2025
Watu wanasahau akina Mo, Roast na wengine walipitia huko huko, enzi za Kikwete.

Hii ni awamu nyingine tena ya watu wa aina hiyo kujazana ndani ya hicho chama kwa maslahi ya shughuli zao.
 
..hawezi kuuliwa.

..huenda anaandaliwa kuwa " rostam mweusi. "

..yeye atashika fedha, wenzake watashika madaraka.
Mkuu

Kama ni Hivyo nitashukuru kama Nini aiseh!

Mzee Reginald mengi aliniliza Sana alipoandika kuwa wakati ule wa awamu ya kwanza, SERIKALI iliwapendelea matajiri wa ASILI ya kuleee wazawa wakaminywa!!

Bora watuandalie wazawa!Ili kama watatuumiza tujue ni ndugu ZETU wameamua kutuuma!!
 

..tatizo anaandaliwa sio kwasababu ni mzawa, bali kwasababu ni mwana-CCM.

..tuandae mazingira ambayo kila mwenye juhudi atafanikiwa.

..tusibaguane kwa sababu ya vyama.
 
Mimi nadhani swali lingekuwa: Qwihaya kafanya mambo gani ndani ya chama hadi wajumbe wakavutiwa sana na kumpa kura nyingi vile?

Wenye jibu la hili swali wasaidie kutoa jibu.
Itakuwa alitoa rushwa ya kutosha
 
anapesa kumzidi Makamba? mwenye TANESCO, TPDC, EWURA, WAAGIZAJI MAFUTA, TAIFA GAS n.k tuache utani basi.
Bado kupata hela za matunda ya Uraisi tuuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Nchi imefika pabaya hii.ukiwa na ukwasi ni hatare utachukiwa tu.
Pesa
Pesa
Pesa.
 
Lazima atakuwa Don!

Alikuwa Msekwa kama sijakosea aliwahi kulalamika kuwa wapiga kura ndani ya CCM hawataki vipeperushi vya wagombea bali wanataka VIPEPERUSHWA!
Hapana ni Mangula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…