Leonard Mahenda Qwihaya ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

Leonard Mahenda Qwihaya ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

..tatizo anaandaliwa sio kwasababu ni mzawa, bali kwasababu ni mwana-CCM.

..tuandae mazingira ambayo kila mwenye juhudi atafanikiwa.

..tusibaguane kwa sababu ya vyama.
Mkuu

Siasa zipo dynamic Sana!

Kwa Sasa ccm ndio inaaminiwa na wenye nchi,japo zipo dalili za wazi endapo katiba ikipatikana mambo yanaweza badilika,sidhani kama ccm inaweza kupambana kwenye fair election!

Tusubiri!!
 
Nadhani itakuwa wajumbe wamepiga Kura za mgomo baridi..., hawafurahishwi na status quo.... ila ndio hivyo tena nani wa kumwambia mfalme kwamba yupo uchi...
 
Qwihaya ni mfanyabiashara wa Nguzo za umeme Mafinga-Iringa na hela nyingi alipata kipindi ambacho Magufuli akiwa madarakani kwa wakati ule kiwanda kilikuwa kama kina share na Magufuli maana pia ni mtwasi mwenzake hata hivyo baada ya kufa kwa Magufuli kiwanda kama kilikufa Mafinga na magari mengi yaliuzwa akahamisha kabisa kwenda Njombe huko.
 
Back
Top Bottom