Leonard Mgina: Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, baadhi wameumbwa kuishi single

Leonard Mgina: Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, baadhi wameumbwa kuishi single

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mtaalamu wa saikolojia, Leonard Mgina, amesema kuwa ndoa siyo jambo linalofaa kwa kila mtu, akisisitiza kuwa baadhi ya watu wameumbwa kuishi maisha ya upweke (single) kutokana na tabia zao.

Akizungumza katika mahojiano na Nurudigital Mgina ameeleza kuwa kuna watu ambao, kwa asili ya mienendo yao, hawafai kuishi na wengine wala kuwa katika mahusiano ya karibu kama ndoa. amengeza kuwa watu wa aina hiyo wanapaswa kuishi peke yao ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza.

Credit: Nuru Fm Iringa

 
Ndoa ni uchaguzi binafsi na sio lazima
 
Hakika, maana kuna watu wana gundu siyo la nchi hii, ukimuoa unakuwa umeyakanyaga haswa.!
 
Back
Top Bottom