reoitable universities ndio zipi ndugu mdukuzi? ngoja tumuite mwanazuoni Leonardo aje atuelekezeHuyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi,
Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what???
Wengine mama zetu walikuwa malecturer,
Wengine mavyeti yanajaa sanduku ila tumechill tu.
Aache ushamba kama ni degree kila mtu anayo,tena from reoitable universities sio vyuo vya kata kama alichosoma yeye
Acha mbwembwe za kishamba kama una degree ni wewe, wengine hawana na hapo anafanya sanaa maisha yaende, kama umekosa kazi bora uchukue jembe ukalime kuliko uharo ulioandika hapoHuyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi,
Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what???
Wengine mama zetu walikuwa malecturer,
Wengine mavyeti yanajaa sanduku ila tumechill tu.
Aache ushamba kama ni degree kila mtu anayo,tena from reoitable universities sio vyuo vya kata kama alichosoma
Carleen njoo Pm, tuzungumze unaonekana una akili.Hivi unakuwaje na chuki namna hii kwa mtu ambaye hata huna ukaribu naye wala hufahamiani naye..?
Hii tabia naionaga hata humu JF, kwanini ujipe umuhimu kwenye maisha ya mtu ambaye chuki yako haimpunguzii hata shilingi 100 kwenye account yake..??
matumizi mabaya ya hasira..!!
Una chuki za kichawi! Tafuta pesa, maisha magumu yasikufanye umchukie kila mtu.Huyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi,
Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what???
Wengine mama zetu walikuwa malecturer,
Wengine mavyeti yanajaa sanduku ila tumechill tu.
Aache ushamba kama ni degree kila mtu anayo,tena from reoitable universities sio vyuo vya kata kama alichosoma yeye
Umelewa? Anamalizaje king'amuzi!? Kwamba anakivunja au anakula king'amuzi? Zima king'amuzi chako kisiishe!!! Ndugu na marafiki zako wana wakati mgumu sana maana hawawezi kutoboa ukiwaangalia, kifupi we ni MCHAWI.Ananimalizia king'amuzi hachekeshi
Watu wenye roho ya kichawi huwa hawakosi cha kusema.Usichukulie vitu serious hivyo. Mfano umchukie mpoki anavyoletaga sifa za kihaya pale anaigiza tu. mkuu unajua kabisa huyo kijana anafanya comedy lakini bado unakasirika.