Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

Huyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi,
Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what???
Wengine mama zetu walikuwa malecturer,

Wengine mavyeti yanajaa sanduku ila tumechill tu.

Aache ushamba kama ni degree kila mtu anayo,tena from reputable universities sio vyuo vya kata kama alichosoma yeye

Kila saa mara ohoo nilipokuwa chuo sijui nini sijui nini,chuo chenyewe TEofili Kisanji TEKU

Hajui kuchekesha,abanimalizia king'amuzi tu.
Unaweza kuwa uko sahihi kwa upande wako.
Kwani unalazimishwa na nani kufuatilia kazi zake?
 
Kijana wa watu maskini..kakosa ajira ameamua kujiajiri ili apate hela ya halali unamfanyia mtima nyongo jamani.....
Anaposema amesoma anafikisha ujumbe kwa serikali kuwa wamesoma ila ajira hakunaaa...
 
Huyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi,
Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what???
Wengine mama zetu walikuwa malecturer,

Wengine mavyeti yanajaa sanduku ila tumechill tu.

Aache ushamba kama ni degree kila mtu anayo,tena from reputable universities sio vyuo vya kata kama alichosoma yeye

Kila saa mara ohoo nilipokuwa chuo sijui nini sijui nini,chuo chenyewe TEofili Kisanji TEKU

Hajui kuchekesha,abanimalizia king'amuzi tu.
UMechafukwaa😀😃
 
Kijana wa watu maskini..kakosa ajira ameamua kujiajiri ili apate hela ya halali unamfanyia mtima nyongo jamani.....
Anaposema amesoma anafikisha ujumbe kwa serikali kuwa wamesoma ila ajira hakunaaa...
Hiyo pia ni ajira,Eric Omondi ana degree kitambo na ana maisha mazuri ila huwezi kumsikia akijisifia kusoma,comedian wa kenya wengi ni graduate wengine na Mastets kabisa,hiyo ni kazi aiheshimu ila aache Majisifa.
Mwana FA ana master kabla ya kuwa mbunge usingesikia akijisifu
 
Ndgu una makasiriko kinoma..

Binafsi huwa nafurahi mno kuona hao wanojiita wasomi wakifanikiwa kupitia career tofauti na walichosomea hasa hawa wanaotumia vipaji mbalimbali.

Inahamasisha kua kila kitu kinawezekana ukiweka juhudi.
Leonardo binafsi ananifurahisha comedy show zake.
 
My favourite comedian..amebadilisha taswira na mtazamo wa watu kuwa comedian lazima awe fyatu aongee kam punguani ,asiye na shule kwa kichwa yake au avae vya ajabu ajabu..the guy is so smart bwana.. anatuwakilisha vyema wakerewe(kama hutaki kunya moto)Imagine Tz tunacomedian anafanya comedi kwa kinge ..anaitwa matamasha makubwa ya watu wenye akili timamu akawaburudishe we huogopi. Cheki deals anazosaini ss?huoni maendeleo hayo mkuu..aaah bwana wee Leo kaleta mapinduzi makubwa katika industry hiyo msomi anaefanya comedy kisomi na akaeleweka kwa makundi yote literacy na non literacy. Haya we msomi Tz hii anakujua nani?..Congrats sana kwake Leo
 
Back
Top Bottom