Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Davan

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
1,125
Reaction score
1,413
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.

Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.

My take:

Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.

Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
 
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.
Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.
My take:
Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.
Source: TBC ardhio 4/1/2021.
Mangi katumia fursa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la Nchi nzima Chief

Anafaa kulaumiwa .....ila wapo wanaofaa kulaumiwa zaidi ya sana

Hawafai kuitwa majina makubwa...wala kupewa vile walivyopewa katika nafasi

Waroho haoooo
Waongo haooo
Waizi haooo
Wachafu haooo
Wazandiki haooo

Lau siku ardhi itafungua kinywa chake....itakuja kuwakataa kama wao si asili yake

Miwatu imevimba na kuvimbiwa..
Mijitu imenenepa na kunenepeshwa

Hawana nafasi ya kuitwa Watu....Bali ni Viatu

Si wana haoooo.....ni laana

Wachafuzi wakubwa wa mazingira na waharibifu

Wanafaa kuchapwa mpaka kuchapika

Ipo siku yao.....Punde tu watajua..
 
Walemavu wanalipa sana, kuna mmoja alikwapuliwa kwa ahadi tamu tamu kaenda kuanikwa Nairobi huko.

Siku moja kama bahati tu kapita mtu anayemfahamu, unaambiwa alimrukia na kumng’ang’ania kwa machozi hadi amrudishe kijijini kwao.
 
Back
Top Bottom