Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Tumia akili dogo. Wanaishi bure wanakula bure. Unadhani angeamua kuifanya hiyo guest yake biashara ya Lodge angeingiza laki ngapi kwa siku?
Hakuna cha kuishi wala kula bure, wanaingiza faida zaidi ya hiyo... hao ni bidhaa dukani hazikai bure.
Ukiona boss anamlisha vinono ng’ombe wake usidhani ng’ombe huyo ndo mnufaika!!