Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.

Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.

My take:

Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.

Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Tatizo lipo kwa serikali yenyewe na wanafamilia.
Huyo mama kafanya makosa ila kumsulubu sio suluhisho
 
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.

Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.

My take:

Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.

Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Mkuu tusiwalaumu wachaga kwa kutafuta pesa kwa nguvu zote ,

Tuwalaumu wale wazee wao wa kimila huko Moshi ,,,,, wanaowapiga makofi na kuwaadhibu wachaga wote wazembe , wanaoshindwa kuonyesha mafanikio yeyote waliyoyapata huko mjini wanakotafuta pesa,, tangu walipoondoka huko kijijini december msimu wa xmass ya mwaka uliopita.
 
Post nyingi za kijinga humu.
Kwanza kisheria hakuna kosa kuwapangisha hapo kuna siasa uchwara
Serikali imefanya nini kuwasaidia walemavu hata huko wanakotoka?
Wapo wengi wanaokaa makanisani na misikitini asubuhi wanaingizwa mitaani waziri nenda na huko kawatandike viboko masheikh, wachungaji na mapadre.
Hakuna mlemavu anaelazimishwa ila ni kwa hiari yao tena wanafurahia kupata ahueni ya maisha.
Huyo mama apongezwe wakati serikali ikitafuta suluhisho ka kudumu kwa walemavu.
Lawama hapa Kwa serikali na Shukrani Kwa mama anaewasaidia walau kupata rizki.
Wajinga endeleeni kukurupuka.
 
Mjinga wa kwanza.
Kwani jambo kama hilo haliwezi kufanywa na mtu toka kabila lingine
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.

Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.

My take:

Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.

Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
 
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.

Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.

My take:

Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.

Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Mweee Jamani dhambi!!!!.
 
Tatizo la Nchi nzima Chief

Anafaa kulaumiwa .....ila wapo wanaofaa kulaumiwa zaidi ya sana

Hawafai kuitwa majina makubwa...wala kupewa vile walivyopewa katika nafasi

Waroho haoooo
Waongo haooo
Waizi haooo
Wachafu haooo
Wazandiki haooo

Lau siku ardhi itafungua kinywa chake....itakuja kuwakataa kama wao si asili yake

Miwatu imevimba na kuvimbiwa..
Mijitu imenenepa na kunenepeshwa

Hawana nafasi ya kuitwa Watu....Bali ni Viatu

Si wana haoooo.....ni laana

Wachafuzi wakubwa wa mazingira na waharibifu

Wanafaa kuchapwa mpaka kuchapika

Ipo siku yao.....Punde tu watajua..
1. Threat
2. Not inline with thread
 
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.

Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.

My take:

Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.

Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.

Wachaga ni watu ambao pesa lazima ipatikane kwa hali yoyote hata kuuwa au kuumiza utu wa watu ilimradi pesa ipatikane..
Baada ya hapo anaanza kucheka wasiokua na pesa ni wavivu wajinga
 
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.

Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.

My take:

Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.

Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Hawa watu kweli wanatafuta pesa kwa kila mbinu.
1. Kupitia vyama vya siasa
2. Kupitia walemavu
3. Kupitia wizi
4. Kupitia ujambazi
5. Kupitia kitimoto
6. Kupitia wizi wa kalamu
7. ............
 
Kuwasema wachaga hapa si suluhisho/sawa tukumbuke na hao Omba Omba wana makabila yao je nao tuwaseme kuwa waache uvivu na mteremko wajifunze kujitegemea?

Hayo makabila mengine yakiacha uvivu na kupenda rahisi huyu mchaga asingebadili matumizi ya gesti yake.
 
Back
Top Bottom