Tatizo la Nchi nzima Chief
Anafaa kulaumiwa .....ila wapo wanaofaa kulaumiwa zaidi ya sana
Hawafai kuitwa majina makubwa...wala kupewa vile walivyopewa katika nafasi
Waroho haoooo
Waongo haooo
Waizi haooo
Wachafu haooo
Wazandiki haooo
Lau siku ardhi itafungua kinywa chake....itakuja kuwakataa kama wao si asili yake
Miwatu imevimba na kuvimbiwa..
Mijitu imenenepa na kunenepeshwa
Hawana nafasi ya kuitwa Watu....Bali ni Viatu
Si wana haoooo.....ni laana
Wachafuzi wakubwa wa mazingira na waharibifu
Wanafaa kuchapwa mpaka kuchapika
Ipo siku yao.....Punde tu watajua..