TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopard Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga.

Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza Nyumbani kwake Kinyerezi,Tabata. Baada ya ndugu na majirani kumuhoji alidai alichanganyikiwa tu.

Juzi alhamisi wiki iliyopita alitekwa tena na baada ya ndugu kutoa taarifa Polisi walisema wasubiri baada ya SAA 72, Leo hii Asubuhi mwili wake Amekutwa akining'inia huko Mkuranga.

Taarifa zaidi zinakuja

Huu si utawala!

Kila siku mnaambiwa lakini bado mnapiga mapambio!

Mpaka siku member wa familia yako anaguswa ndio mtaacha hayo mapambio!

This shithole country is a prison!

Been telling you folks!
 
pole mno kwa wafiwa,BUT mtu ameripotiwa kupotea na jeshi la polisi linawajibu wanandugu wasubiri kwanza 72hrs ndio msako uanze,tukiambiwa tunaishi in a pithole country tunalalamika mno,common police mtu akipotea msako unaanza straight sio kusubiri,huyu atakuwa ni another Akwilina,tutamsahau punde ,maana sisi ni mahodari wa kulalama mitandaoni.
 
Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopard Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga.

Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza Nyumbani kwake Kinyerezi,Tabata. Baada ya ndugu na majirani kumuhoji alidai alichanganyikiwa tu.

Juzi alhamisi wiki iliyopita alitekwa tena na baada ya ndugu kutoa taarifa Polisi walisema wasubiri baada ya SAA 72, Leo hii Asubuhi mwili wake Amekutwa akining'inia huko Mkuranga.

Taarifa zaidi zinakuja
aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopard Lwajabe [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15].... Hatuna tofauti na nyumbu sasa mbele ya simba na chui[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Watu kuuliwa ni kawaida duniani kote hata huko Ulaya watu wanauliwa, Marekani kila dakika moja wanauwawa watu hamsini"- Cyprian Musiba(Dw Interview, Saturday 27. July, 2019.

The future is not so bright
Huo mstari uliomaliza nao umenikumbusha nyimbo moja ya Luck Dube 'Group Areas Act'
Anyway Rest In Peace kwa marehemu. 😷
 
Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopard Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga.

Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza Nyumbani kwake Kinyerezi,Tabata. Baada ya ndugu na majirani kumuhoji alidai alichanganyikiwa tu.

Juzi alhamisi wiki iliyopita alitekwa tena na baada ya ndugu kutoa taarifa Polisi walisema wasubiri baada ya SAA 72, Leo hii Asubuhi mwili wake Amekutwa akining'inia huko Mkuranga.

Taarifa zaidi zinakuja
EU kitengo cha nini, ayo matukio ya vifo na kutekwa inabidi yaolozeshwe, kuna siku yatatumika ICC KAMA ushahidi, jinai haina ukomo,, iko siku yatamgharimu mtu, ni suala la muda tu kwakweli, inasikitisha jamani
 
Back
Top Bottom