Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Musiba kawaonya wanaotaka kufanya hivyo kwae akina january na Zitto kuwa watajikuta matako yao yamekuwa makubwa na midomo imepakwa lipstick [emoji23][emoji23][emoji23]Wangemteka Musiba na Bashite tusikie tafrani yake itakuwaje?!
unamaanisha Mungu au?Nguvu kutoka juu, imeasisi na kubariki utekaji nchi hii. Shime watanzania tuseme hapana ili nguvu hii toka juu ikome kueneza kansa hii.
Leo kwa mwingine, kesho kwako.
dk 1 = watu 50Watu kuuliwa ni kawaida duniani kote hata huko Ulaya watu wanauliwa, Marekani kila dakika moja wanauwawa watu hamsini"- Cyprian Musiba(Dw Interview, Saturday 27. July, 2019.
The future is not so bright
Bashite na ma-Rc wanalindwa na ffu ñyumbani, pia wana usalaama wa taifa mmoja pia kama bodi gadiHivi kweli ni kwanini Bashite, Musiba na wapumbavu wengine hawajawahi kutekwa?
Hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu.Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga.
Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza Nyumbani kwake Kinyerezi,Tabata. Baada ya ndugu na majirani kumuhoji alidai alichanganyikiwa tu.
Juzi alhamisi wiki iliyopita alitekwa tena na baada ya ndugu kutoa taarifa Polisi walisema wasubiri baada ya SAA 72, Leo hii Asubuhi mwili wake Amekutwa akining'inia huko Mkuranga.
Taarifa zaidi zinakuja
======
Mkurugenzi msaidizi wa miradi inayotekelezwa na Umoja wa Ulaya nchini kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, Leopold Lwajabe amekutwa amekufa wilayani Mkuranga.
Taarifa za zilizotolewa na msemaji wa wizara hiyo, Benny Mwaipaja zimesema wamejiridhisha kuhusu kifo hicho, muda mfupi wakijiandaa kutoa taarifa ya kumtafuta.
“Alitoweka wakati fulani wiki iliyopita lakini akaonekana. Ilikuwa ni muda mfupi baada ya kurejea nyumbani kwake kutoka kazini. Alipoonekana alitakiwa kwenda kutoa maelezo polisi lakini kabla hajafanya hivyo, akapotea tena. Leo ilikuwa tutoe taarifa kwa vyombo vya habari kumtafuta,” amesema Mwaipaja.
Mkwaipaja amesema walisitisha kutoa taarifa hiyo baada ya kupokea fununu za mwili wake kuonekana huko Mkuranga hivyo wakatuma watu kwenda kujiridhisha na kukuta ni kweli.
Kifo hicho kimethibitishwa leo, Julai 29.
Awamu ya damu hiiNini kinajili katika awamu hii ya tano jamani, yaani hii ndio tz ya viwada?
Hii hali inatisha!
Hakuna mtu aliye salama tena, chini ya utawala huu wa awamu ya tano
Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga.
Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza Nyumbani kwake Kinyerezi,Tabata. Baada ya ndugu na majirani kumuhoji alidai alichanganyikiwa tu.
Juzi alhamisi wiki iliyopita alitekwa tena na baada ya ndugu kutoa taarifa Polisi walisema wasubiri baada ya SAA 72, Leo hii Asubuhi mwili wake Amekutwa akining'inia huko Mkuranga.
Taarifa zaidi zinakuja
======
Mkurugenzi msaidizi wa miradi inayotekelezwa na Umoja wa Ulaya nchini kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, Leopold Lwajabe amekutwa amekufa wilayani Mkuranga.
Taarifa za zilizotolewa na msemaji wa wizara hiyo, Benny Mwaipaja zimesema wamejiridhisha kuhusu kifo hicho, muda mfupi wakijiandaa kutoa taarifa ya kumtafuta.
“Alitoweka wakati fulani wiki iliyopita lakini akaonekana. Ilikuwa ni muda mfupi baada ya kurejea nyumbani kwake kutoka kazini. Alipoonekana alitakiwa kwenda kutoa maelezo polisi lakini kabla hajafanya hivyo, akapotea tena. Leo ilikuwa tutoe taarifa kwa vyombo vya habari kumtafuta,” amesema Mwaipaja.
Mkwaipaja amesema walisitisha kutoa taarifa hiyo baada ya kupokea fununu za mwili wake kuonekana huko Mkuranga hivyo wakatuma watu kwenda kujiridhisha na kukuta ni kweli.
Kifo hicho kimethibitishwa leo, Julai 29.
Ehe Mungu wangu namfahamu huyu Eng alikuwa mpole, ana weledi kwenye kazi na mtu wa watu jumla nimemfahamu wakati niko EU. Nimeshituka sana Mungu aisimamie familia kwenye wakati huu mgumu pamoja na PSU. RIP Engineer gone too young.Hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu.
kweli mkuuAwamu ya damu hii