TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

Yani mikono yao imejaa damu toka waingie madarakani imekua ndio silaha yao,viongozi na wakuu wastaafu hawaoni hili tatizo wako kimya ngoja siku itokee kwa watoto wao
Hii kasumba ya kuteka watu sijui mtaiacha lini, don't you "pips in offices" have other options?
 
Ehe Mungu wangu namfahamu huyu Eng alikuwa mpole, ana weledi kwenye kazi na mtu wa watu jumla nimemfahamu wakati niko EU. Nimeshituka sana Mungu aisimamie familia kwenye wakati huu mgumu pamoja na PSU. RIP Engineer gone too young.
Pole kwa msiba , lakini kuna jambo jina nitatiza
Moja alikuwa mpole hivyo uwezekano wa kufarakana na jirani au majirani ni mdogo

Pili alikuwa mtu mwenye uweledi hivyo alikuwa si mbadhirifu wa Mali ya umma

Sasa unajiuliza nani alikuwa na uhasama naye ?? Jamiii iliyo mzunguka??
Au yeye mwenyewe kwa kutoeleza vizuri alivyo potea Mara ya kwanza nine hasa has a kilitokea na je issue ya kuitwa polisi lipoje ikiwa alikuwa mweledi au kama ni kutokana na kutekwa Kwake hapo awali
 
Hivi hao wauaji wako proffesional? Na wao wanalipwa mishahara kabisa kwa kutoa roho za watu. Na wana familia zao kabisa au ni mahanithi? Maana mimi hainiingii akilini kabisa ipo siku watachinja na wa kwao
 
Hivi huyu marehemu na Erick Kabendera si wanatoka mkoa mmoja? Je ni wanandugu ama wana uhusiano wowote? Naona matukio yao yamefuatana sana
Sio hivyo tu Ni Kama wanafanya kazi kitengo kimoja. Kabendera anafanyia kazi chombo Cha habari Cha UK, in the mean time you can say ndo EU na marehemu naye anatumikia miradi ya EU
 
Damu ya muuaji hurudia familia yake kwa njia nyingi,halafu utakuta nyumbani mkewe analipiga vibao kila uchwao,hii damu itamrudia burigi anaona watanzania ni wajinga kumbe wanamchungulia tu
Hivi hao wauaji wako proffesional? Na wao wanalipwa mishahara kabisa kwa kutoa roho za watu. Na wana familia zao kabisa au ni mahanithi? Maana mimi hainiingii akilini kabisa ipo siku watachinja na wa kwao
 
Kwa Tanzania ya sasa kuwa masikini ni ufahari na kitu cha kujivunia kwa sababu jiwe yupo pamoja nao.

Hata masikini wanauwawa vile vile Allen MBEYA,akwilini na si wanasiasa, Hakuna aliyesalama
 
Mla nyama za watu atoacha kuzila ni hadi pale watu watakagoma kuliwa
 
Tuache unajimu na mambo ya kulaani ttusivyo jua imethibitishwa kwa maandishi yake mwenyewe amejiua na kuacha mgao wa mali zake na ngombe wa kuchinjwa kwenye msiba ni wanne, hays wazee wa saccos leteni santuri nyingine
 
Unaijua saikolojia ya kujiua? Yaani utoke dar ukajiue Rufiji? Kujiua ni kitendo kisicho cha hiari maamuzi ya kujiua na kitendo cha kujiua huwa havipishani ndani ya dakika 5 huwa ni illusion maruweruwe hadi ufike rufiji ile dhamira ya kujiua huwa ishatoweka sababu njiani ushaingiza image nyingi utakazo kutana nazo.Ukikua utaelewa.
 
Familia Kama INA pesa iwalipe kampuni za udukuzi za nje ( Google) watrace call za mwisho mwisho za marehemu watawapata wahusika wa hack information zao simu zote urekodiwa duniani au wamwachie Mola nae atawalipa wadhalimu juu ya yote.
 
Back
Top Bottom