Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

Hapo kwenye amana naomba Ufafanuzi.
 
Sasa mbona makanisa yana benki na zinakopesha kwa riba ?
 
Kuna kipindi nilitaka nifanye hiyo biashara, ila nikajitafakari sana nikakuta hizo sifa ulizozisema sina!
 
Asante sana Nitajitahidi Kuondoka kwenye Ujinga kabla sijawa mpumbavu! Nashukuru Kwa Taarifa..

But kwanza jitahidi Kujifunza vitu vingi sana inaonekana bado una utoto mwingi na ujana
Ata kama n utoto kwahyo utu uzima wako ndo umekufanya uniletee uhusiano wa kwenda mbinguni na kupata leseni kwenye mada inayohusu leseni
 
Asante sana Nitajitahidi Kuondoka kwenye Ujinga kabla sijawa mpumbavu! Nashukuru Kwa Taarifa..

But kwanza jitahidi Kujifunza vitu vingi sana inaonekana bado una utoto mwingi na ujana
Narudia tena jifunze kushambulia hoja na sio kumshambulia mtoa hojaa hyo itakusaidia kuepukana na vitu vingi

Jifunze kujibu hoja kwa mtiririko utakaofanya uonekane matured sio mara ujitete, ety ooh hapa ni jf mara ooh cjui nin mwisho wa cku unatia huruma
 
Aliyeleta hiyo Mada alikuwa nani? We si ndo uliuliza? Ukiuliza kitu tegemea kupata jibu hata kama ni chungu kwako!
Ndo mana nasemaje mm n mtoa mada, ila kama hujielewi unacomment hovyo hovyo na limwandiko lako limeenda op kama unatumia vidole vya miguu kuandika dose lazma upewe
 
Kuna maswali nimeuliza ukiweza kuyajibu itakuwa sawa sana
 
Mimi sizioni km ni biashara za kudumu
 
Jiandae kupora TV, Friji na Sabufa nyingi ili kuweza kukabiliana na unaowadai fedha. 🤣
 
Nenda ofisi yeyote ya Benki kuu ya Tanzania makao makuu au matawi yake ndio hutoa hizo leseni za Micro Finance taasisi binafsi toa mikopo watakupa fomu na maelekezo

Benki kuu ya Tanzania ndio pekee hutoa hizo leseni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu mm nataka kudeal na wafanya biashara wadogo wadogo ila ata akija huyo mwl.simnyimi namtendea hakii
Mkuu kwa maslahi mapana ya biashara yako waweke walimu kama kundi muhimu la wateja, huwa wanakopa kwa haraka sana na wakishaingia kwenye system yako ni ngumu kutoka, pia sio rahisi kukimbia maana kituo chao cha kazi kinajulikana.
 
Nmependa wazo lako ntalifanyia kaz
 
Nenda ofisi yeyote ya Benki kuu ya Tanzania makao makuu au matawi yake ndio hutoa hizo leseni za Micro Finance taasisi binafsi toa mikopo watakupa fomu na maelekezo

Benki kuu ya Tanzania ndio pekee hutoa hizo leseni
Shukrani kwa msaada wako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…