Lemongrass
Member
- Apr 23, 2023
- 39
- 55
Hapo kwenye amana naomba Ufafanuzi.Baada ya kusajiliwa brela unaomba leseni BOT, mtaji wa kuanzia ni milioni 20. Sharti hiyo 20m hutakiwi kuwa imeikopa.
Kwa hiyo 5m fanya kuongezea 15m nyingine ili uwe na hadhi ya kupata leseni ya kuwa microcredit isiyochukua amana.
Ukitaka kuanza kupokea amana kama akina fin basi jipange upate 200m.