Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Sawa mkuu asanteWakati ww unaiita laana wenzio imetusomesha, imewasaidia wazaz wetu kujenga na wazaz wetu wanashukuru kwa kuwepo mikopo....endelea kukaza fuvu na kamfano kako kamoja cjui ka mjane, dua la kuku halimpati mwewe wapo waliouziwa nyumba zao na benk licha ya kua hawakua watoa mikopo think wise.
Labda tupewe mifano ya matajiri 5 waliotajirika kwa huu wizi wa riba za 35%Inafurahisha kuona huyu mtoa mada anashauriwa kuhusu changamoto ya hiyo biashara, halafu analeta ujuaji! Kisa tu ana milioni 5!!
Kwanza hiyo milioni 5 yenyewe mpaka amalize kusajili hiyo biashara, anaweza kujikuta amebakiwa na milioni 2 tu. Kama ana roho nyepesi ni bora akafanya biashara nyingine.
Hii biashara ni ngumu sana. Mimi kwa kweli hapana. Sidhani kama wapo.Labda tupewe mifano ya matajiri 5 waliotajirika kwa huu wizi wa riba za 35%
Hii hata nikose la kufanya kamwe siifanyi labda iwe Ulaya au Asia sio Afrika.Hii biashara ni ngumu sana. Mimi kwa kweli hapana. Sidhani kama wapo.
Kwann ukopeshe watu wenye njaa njaa ,inamana huoni hata ukiwa unabargain kuwa huyu Hana uwezo wa kunilipa ...mim nilikuwa nakopesha MTU mwenye mshahara tu ....Hawa wafanya biashara wengi njaa tu kwenye malipo ,hachelewi kusingizia biashara inayumba [emoji23]Hii hata nikose la kufanya kamwe siifanyi labda iwe Ulaya au Asia sio Afrika.
Mtu anakopa akalipe ada ya mtoto then aje kutafuta rejesho tena hana chanzo cha mapato unategemea nini?
Mwenye uwezo leo kesho ana majanga mkuu.Kwann ukopeshe watu wenye njaa njaa ,inamana huoni hata ukiwa unabargain kuwa huyu Hana uwezo wa kunilipa ...mim nilikuwa nakopesha MTU mwenye mshahara tu ....Hawa wafanya biashara wengi njaa tu kwenye malipo ,hachelewi kusingizia biashara inayumba [emoji23]
9.5Daaaah hataar kwa afyaa alikopa kias gan mpaka wauwane
Uchawi kwanza ndo siogopi mm c wapo wanaouwawa kwa uchawi na sio wafanyabiashara wa kukopesha hela
Mtu huna biashara huna shughuli utakopaje kijinga, better umuazime jirani ununue maandazi uleHii hata nikose la kufanya kamwe siifanyi labda iwe Ulaya au Asia sio Afrika.
Mtu anakopa akalipe ada ya mtoto then aje kutafuta rejesho tena hana chanzo cha mapato unategemea nini?
Umenena mkuuNimesoma comment zote, wengi hawaijui hii biashara.
1. Jiulize kwa nini ukiingia kwenye Menu ya Mpesa kuna wakopeshaji wengi?.
2. Kwa nini mpka sasa kuna mikopo ya mtandaoni
3. Pongezi kwa BOT, ili uingie kwenye biashara hii lazima uwe mtaalamu wa mambo ya fedha au biashara tofauti na hivyo lazima uwe na mshirika au msimamizi mwenye taaluma ya fedha.
4. Hamna biashara yenye ukwasi kama hii kikubwa lazima ujue unataka kukopesha kundi gani kwenye jamii, Kanuni ya biashara yeyote HUWEZI KUMHUDUMIA KILA MTU.
Walimu asithubutu kuwawekaMkuu kwa maslahi mapana ya biashara yako waweke walimu kama kundi muhimu la wateja, huwa wanakopa kwa haraka sana na wakishaingia kwenye system yako ni ngumu kutoka, pia sio rahisi kukimbia maana kituo chao cha kazi kinajulikana.
Waganga wa kienyeji pia itabidi wawe marafiki zako wa karibu au muwe washirika, itakulazimu kupiga watu kamati hasa za watu kushindwa kurudisha pesa ili waendelee kuleta riba, it's a sad reality.Broo kila kitu kinahitaji kujitoaa (optimist ) ndo mm
Sikopesh mtu wa kumdai kumfata kwao unaleta dhamana yako ilosainiwa na baloz na mwenyekiti nakupa hela ukikwama bila maelezo dhamana inauzwaaWaganga wa kienyeji pia itabidi wawe marafiki zako wa karibu au muwe washirika, itakulazimu kupiga watu kamati hasa za watu kushindwa kurudisha pesa ili waendelee kuleta riba, it's a sad reality.
Mkuu, kuwepo wapo, tena wengi sana, lakini kwa waganga hawakatiki. Unaweza kuchukua mkopo 500k ukaweka bond pikipiki yako mpya, I tell you, itaenda. Niko Sengerema Mwanza, haya mambo yapo sana, naona watu na shida zao anakopa 200k anaweka bond nyumba, he will never live to pay that debt, nyumba imeenda.Labda tupewe mifano ya matajiri 5 waliotajirika kwa huu wizi wa riba za 35%
Nao wana mwisho mbayaMkuu, kuwepo wapo, tena wengi sana, lakini kwa waganga hawakatiki. Unaweza kuchukua mkopo 500k ukaweka bond pikipiki yako mpya, I tell you, itaenda. Niko Sengerema Mwanza, haya mambo yapo sana, naona watu na shida zao anakopa 200k anaweka bond nyumba, he will never live to pay that debt, nyumba imeenda.
Mtaji wa kiasi gani?, je unauzoefu na kazi hizi?Mkuu kama unamtaji WA kutosha kabisa WA kuweza kukopesha watu tafuta taasisi ndogo ndogo hizi ambazo hazikopesheki Benki ....
Mfano Kampuni za usafi ,ulinzi ,au kiwanda chochote kinacholipa wafanyakazi mshahara mdogo kama Laki 3+ ....
Ukifika pale ingia makubaliano na mkataba kuwa utakuwa Unakopesha wafanyakazi wao ,wanakulipa kwenye mshahara wanaopata ,mfano wengi wanaofanya Kazi viwandani ,Kampuni za usafi n.k unakuta wanahitaji mkopo lakin bank hawana vigezo, unakuta wanahangaika kweli so unaweza kuwakopesha wao Kwa makubaliano unakata deni moja Kwa moja kutoka Kwa mwajiri wao siku ya mshahara ...
Mkuu utapiga pesa mpaka mwenyewe utshanga ,huko Hakuna ubabaishaji wala kuanza kuwaza kudhurumiwa ,pesa inakufikia Kwa wakati Pindi wanapopata mshahara...
Note : unawakopesha pesa ambayo wanakulipa ndani ya mwezi ,mfano unawakopesha kuanzia 80k - 100k ,Kwa vile Ni wengi utapata faida ,na watatakiwa kulipa ndani ya mwezi ,then Unakopesha Tena ....usikopeshe pesa nying wengi wanaweza kuacha Kazi gafla siunajua wafanyakazi WA WA viwandani na usafi hata mikataba Ni magumashi ....
Ulitaka Zaidi information njoo inbox nikupe Ramani ....
Uwe na angalau 10M ,Mtaji wa kiasi gani?, je unauzoefu na kazi hizi?