Mkuu kama unamtaji WA kutosha kabisa WA kuweza kukopesha watu tafuta taasisi ndogo ndogo hizi ambazo hazikopesheki Benki ....
Mfano Kampuni za usafi ,ulinzi ,au kiwanda chochote kinacholipa wafanyakazi mshahara mdogo kama Laki 3+ ....
Ukifika pale ingia makubaliano na mkataba kuwa utakuwa Unakopesha wafanyakazi wao ,wanakulipa kwenye mshahara wanaopata ,mfano wengi wanaofanya Kazi viwandani ,Kampuni za usafi n.k unakuta wanahitaji mkopo lakin bank hawana vigezo, unakuta wanahangaika kweli so unaweza kuwakopesha wao Kwa makubaliano unakata deni moja Kwa moja kutoka Kwa mwajiri wao siku ya mshahara ...
Mkuu utapiga pesa mpaka mwenyewe utshanga ,huko Hakuna ubabaishaji wala kuanza kuwaza kudhurumiwa ,pesa inakufikia Kwa wakati Pindi wanapopata mshahara...
Note : unawakopesha pesa ambayo wanakulipa ndani ya mwezi ,mfano unawakopesha kuanzia 80k - 100k ,Kwa vile Ni wengi utapata faida ,na watatakiwa kulipa ndani ya mwezi ,then Unakopesha Tena ....usikopeshe pesa nying wengi wanaweza kuacha Kazi gafla siunajua wafanyakazi WA WA viwandani na usafi hata mikataba Ni magumashi ....
Ulitaka Zaidi information njoo inbox nikupe Ramani ....