Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Hamna utapeli hii ni fursa kwa watu waliopoteza vitambulisho lakini wapo katika orodha ya wapiga kura katika jimbo husika.Hapa kuna harufu ya utapeli wa kuongeza mamluki wasiokua wamejiandikisha. CCM inatafuta bao la mkono.
Wananchi wamejulishwa?Ni jambo njema lakini umma utangaziwe?Vipi kuhusu wanafunzi wa vyuo hasa vyuo vikuu?Chadema sijui watatoa visingizio gani mwaka huu
Tutamsulubu msaliti wa Nchi Lissu
Nimekuja PM, nina jambo na wewe.
ukimaanisha nini, mkuu.NEC bado mmelala Sana. Kura ilibidi zipigwe kielekroniki.
Nilimaanisha kura zipigwe kidijitiukimaanisha nini, mkuu.
Tumia nafasi yako kuwatangazia walio karibu na weweWananchi wamejulishwa?Ni jambo njema lakini umma utangaziwe?Vipi kuhusu wanafunzi wa vyuo hasa vyuo vikuu?
Nahisi ilikua na mapungufu.Kwanini tusitumie BVR kupiga kura?
Sikia bosi wako mwenyewe amesema Leo watanzania tufanye mabadiliko"Tushasukuma sana milango iliyoandikwa vuta"
Na technology ilivyokua sasa ivi, hofu ya watu wabaya kuingilia mfumo inakua rahisi, siunasikia ata uko duniani mataifa makubwa yanashutumiana nchi moja kuingilia chaguzi ya nchi nyingine.Nilimaanisha kura zipigwe kidijiti
Bosi wako anasema tufanye mabadiliko wewe ni nani upingeChadema sijui watatoa visingizio gani mwaka huu
Tutamsulubu msaliti wa Nchi Lissu
Mzee kasemaKazi nzuri NEC naona mmeacha watu wapigwe KO bila malalamishi.
October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Tumchague shetani aliye nafuu kwetu. Maana hata kwenye huu mfumo wetu wamakaratasi shutuma za wizi wa kura ziko lukuki.Na technology ilivyokua sasa ivi, hofu ya watu wabaya kuingilia mfumo inakua rahisi, siunasikia ata uko duniani mataifa makubwa yanashutumiana nchi moja kuingilia chaguzi ya nchi nyingine.
Wana uhakika gani watawapigia kura? Bado ni tight, this time kuna uwezekano wa kura kuibiwa in favor of TALHapa kuna harufu ya utapeli wa kuongeza mamluki wasiokua wamejiandikisha. CCM inatafuta bao la mkono.