Uchaguzi 2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

Kipigo cha October kwa Chadema kipo pale pale

Tanzania hatutaki ushoga,
 
NEC imebariki rasmi milango ya "WAPIGA KURA HEWA", sambamba na kuchochea machafuko kwa raia wasio ridhishwa na matokeo yatakavyo toka.

Hongera NEC kwa kusaidia figisu na wizi wa kura. Amani ya nchi yetu ipo katika mikono yenu.
 
Back
Top Bottom